@fatma_karume Wazanzibar ni wabinafsi sana, wanajijali wao tu na kila kitu wanao tunawaone wanakula shushu bara, ipo siku na sisi tutawachoka maana mmeanza ooh muingie na passport ooh sijui nini kwanza mnapata mgao msioustahili kwenye sekta ya umma bara wapo kibao mrudi kwenu
@Nnauye_Nape Ving'amuzi azam tv haya kupandisha bei haya au ni kwa sababu ya vita ukraine very simple wanaoandisha bila hata kusema sababu tume ya ushindani iko wapi dstv mmewakzia alafu azam mnawaachia @Nnauye_Nape sio siri kuna ushetani
@EssauGeorge1@MsigwaPeter Lipo karibu na maktaba kuu ya iringa mbele kama unaenda chuo cha ruaha after ilipokuwa round about ya zamani ya kwenda gangilonga