@MsigwaPeter Hao majambazi wanao waua mbona hatusikii wakisema kama nao wamewaua wanaowavamia, ila wao ndo wanauwa au mbinu zao ni ndogo kuweza kuwadhibiti majambazi hao! Ila njia rahisi iliyobaki ni kuwaua?!! ๐๐๐
@TunuHassan Ni kweli kabisa ili waonyeshe ufahari kwa wenzao kuwa nao wameolewa ila ndoa haipo mwaka tu mifarakano na kauli yake rahisi tu kama ndoa ndo hivi tuachana kila mtu awe huru ๐๐๐