@MrIQ_01 Nyota moja ni sawa na mataji kumi ya ligi, mfano Juventus wana nyota *** (3) hadi sasa wana makombe 38, mwaka huu Inter wameongeza nyota moja zimekuwa **(2) baada ya kufikisha mataji 20, Kwa yanga wana nyota tatu (***) sababu wamefikisha mataji 30
Pia kwa UEFA * kwa kila kombe
#TETESI: Klabu ya Yanga inatajwa kuwa ukingoni kufikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji, Sudi Abdallah kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake na miamba ya Malaysia, Kuching City kutamatika.
Sudi (23) raia wa Burundi anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara.
Sudi ambaye amewahi kuvitumikia vilabu vya Vitalo FC ya Burundi, AS Kigali ya Rwanda, Al Faisaly ya UAE, Al Naft ya Misri na timu ya Taifa Burundi anatarajiwa kuziba pengo la Fiston Mayele.
#KitengeSports
Waziri Bashungwa kasema haya kuhusu MwendoKasi!.. na kamuagiza PS wake kufanya mambo kadhaa kukamilisha mradi huu
Sasa mnapokuwa mnauliza kazi ya kodi na tozo ndiyo hizi sasa, waziri kasema wananunua mabasi 177.
Sisi tunahesabu haya matukio kwa ajili ya kampeni zetu 2025π