.Mauaji yametokea
.Polisi wanasema watu waNNE wameuwawa
.ZZK anasema ni zaidi ya 100
.Wananchi wanasema ni wengi
.ZZK anashauri iundwe Tume kuchunguza hili maana hizi ni Roho za WaTanzania wenzetu
.ZZK anakamatwa, anatiwa Ndani, Hapewi Dhamana
#JusticeForZitto#ChangeTanzania
Mh Spika nimekusikia na ni matumaini yangu utanisikia na utaweza kuwa mvumilivu nitakapo anzisha mchezo wa
kumtafuta Spika mwenye roho mbaya Afrika Mashariki,sijui nani atakuwa mshindi ila nitaanzisha mchakato huo soon ! Mh Lissu anakusalimia na anaendelea vizuri
Bunge ambalo limegoma kujadili hoja ya usalama wa watanzania wakati wa Kibiti, likagoma kujadili kuhusu LUGUMI, likagoma kujadili wanafunzi waliofukuzwa UDOM na kulala Bus stand, linajadili Pongezi za Rais kununua korosho kwa fedha za umma ambazo hazijapitishwa bungeni. Tumeozaa!
Kufikia Siku Ya Kesho 16/11/2018 Wabunge Wote Wa Upinzani Ambao Watakua Wamebaki Upinzani Awe Chadema, CUF Hata NCCR.
Hawa Ndio Watakua Wabunge Wapinzani Wa Kweli Hapa Tanzania, Hawa Ndio Wanatakiwa Wapate Heshima Kwa Sababu Pamoja Na Yote Wameamua Kuvumilia.
Tukutane 2020.
"We were bundled into the back of a minivan with several agents. The rear and side curtains were closed and there was an attempt to disorientate."
@angelaquintal explains how she and @muthokimumo were detained and interrogated by #Tanzania's intelligence: https://t.co/KWG9MgRRnv
Serikali ya #Zanzibar imeamua kufunga camera kwenye mitaa na barabara mbalimbali ili kuboresha usalama, kampuni iliyozifunga ya ROM Solution imetenga na chumba maalum kitakachokuwa na Watu saa24 wanaotazama screen zinazoleta matukio yote kupitia hizo camera. #MillardAyoAMAZING
Somo la kusoma alama za nyakati ni muhimu sana kwa mwanasiasa yeyote yule anayetaka kupiga hatua:
1. 2013: Aliyemkwida Mwigamba (Sasa Kada wa CCM), kumpora laptop na kunasa "Mkakati wa Mabadiliko": Godbless Lema
2. 2018: Aliyefanya Press kushinikiza @zittokabwe aachiwe: Lema
Eti Bunge linakaa kabisa na kuazimia kumpongeza aliyesababisha crisis ya KOROSHO.
Bunge lenyewe halijawahi pitisha bajeti ya kununua Korosho. Halishtuki tu jinsi lilivyoporwa mamlaka yake! Kweli LIMETEKWA!
Kwa hali hii #Umasikini na #Tanzania havitakaa vitengane kamwe!
Maeneo ya Kiluvya kuna mtu ameamua kujitolea kusimama kwenye kivuko cha waenda kwa miguu na kuwavusha wanafunzi.
Amevaa vest yenye reflects anasimamisha magari na kuruhusu.
#Ajalisasabasi