Bei mpya ya Mafuta kwa Mwezi Juni, 2026.
Dar es salaam
Petrol 4,086
Diesel 4,333
Dar es salaam Petrol imeshuka kwa shilingi 29 na Diesel ikipanda kwa shilingi 85,
Shuka chini kuona na bei ya mikoa mengine.
Kama unaanza maisha na unataka nyumba simple chukua hii hapa itakufaa,inakuwa na โ
1. Chumba self, sebule+kajiko.
2. Self Bedroom ya kuingilia mlango wa nje
3. Public toilet
Ramani na makadirio yake yapo NDILOLE DESIGN.
๐๐๐
๐ฒ0746122023
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha.
Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls!
Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this!
Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29.
Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili.
Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all.
Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao.
Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa.
Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?
@EsirEid NISAIDIENI KAZI WAKUU
Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI ๐
Kirando, Nkasi Kaskazini, Rukwa.
Hii ni leo. Hakuna kiongozi wa kitaifa yeyote. Hapa alikuwepo AIDA KENANI na watu wake tu. Mnaweza kuwatoa roho wafuasi wote wa CHADEMA lakini hamuwezi kuondoa imani kwa watu. Kwa sasa, CHADEMA ni imani ya watu. CHADEMA kwetu ni lifestyle yetu.
Nanukuu ""Kama kuomba msaada ni aibu then kulala kwa kuchomwa sindano ni mateso zaidi kuliko aibu"๐
Please nisaidie kwa chochote napitia mengi nisiyoyaweza.
M PESA 0764122090 REGAN ๐๐
@ReganTesla_ ๐๐.
MARIDHIANO BILA UKWELI NA UWAJIBIKAJI NI USALITI.
Historia haina huruma kwa watawala katili. Historia inatunza kumbukumbu za sauti zilizopazwa wakati wa mchana kweupe, lakini zikamezwa na giza totoro. Leo watawala wanazungumzia Maridhiano, neno tamu vinywani, lakini lenye makovu makubwa moyoni.
Kumbukumbu hazidanganyi. Humphrey Polepole alisimama, akanyoosha kidole akasema: โTupatane kwanza kabla ya uchaguziโ Matokeo yake? Akapotezwa. Je, alipotea kwa hiari au alipotezwa kwa lazima? Sauti yake ikawa kama mwangwi uliopotea bondeni.
Mzee Warioba, mbeba maono ya katiba, akapaza sauti: โTusikimbilie sanduku la kura bila maridhiano.โ Badala ya kumsikiliza, mawe yakawa majibu yake. Mzee wa heshima akazuiwa, akawa mfungwa wa mawazo yake mwenyewe ndani ya kuta za nyumbani kwake.
Askofu Josephat Gwajima, akajitokeza, akashauri chama chake na watawala, nchi inahitaji uponyaji, majadiliano kabla ya kwenda katika uchaguzi. Akashauri, uchaguzi huru na haki ni tunda la amani. Hakusikilizwa. Akapuuzwa. Akatukanwa. Akashambuliwa sana.
Vipi kuhusu Captain Tesha? Alisema mengi, akataka maridhiano ya dhati. Akasema mifumo imeharibika na inahitaji marekebisho. Leo, sauti yake imekuwa kama redio iliyozimwa ghafla katikati ya msiba mzito. Tesha na wengine, walioona mvua kabla ya mawingu..
CHADEMA hatuwezi kusahau hata kidogo. Chini ya jua kali na mvua za el nino, kwenye ngurumo nzito na radi, tulipita katika matope tukidai kitu kimoja: Mageuzi ya kimsinhi kabla ya Uchaguzi. Lakini majibu yalikuwa ni kutekwa, magereza, na kuzuiliwa kufanya siasa.
Shingo za watawala zilijawa na kiburi, mioyo ikawa migumu, mkiamini kuwa ushindi ni kuiba kura na si kuchaguliwa na wananchi. Hamkutaka kuchaguliwa. Mliamua kujitangaza washindi kwa ushindi wa kishindo. Watu milioni 32 walishiriki uchaguzi wapi?
Vongozi wa kiroho hawakukaa kimya. TEC, Bagonza, na Gwajima, wote walionya. Walisema maridhiano si chaguo, ni hitaji la lazima ili taifa lipumue. Lakini, shingo zilikuwa ngumu. Mkajiona miungu watu msiohitaji ushauri wa ardhi wala mbingu. Mkasonga mbele.
Fr. Dkt. Charles Kitima, mwanatheolojia, alipojaribu kutoa ushauri wake wa busara kuelekea uchaguzi mkuu akiwa salama ndani ya makazi ya Maaskofu, alivamiwa na maharamia. Alishambuliwa. Akaonewa sana. Akayaona mauti moja kwa moja usoni kwake. Mbaya sana.
Mliamua kushughulika hata na viongozi wa dini. Hakika, mlivuka mipaka. Mdude Nyagali alivamiwa, akatekwa na kupotezwa kabisa. Deusdedith Soka alitekwa na kupotezwa. Dioniz Kipanya alitekwa na kupotezwa. Mamia ya vijana wa CHADEMA, wafuasi wazalendo, watoto wa Tanzania. Walitekwa, wakapotezwa.
Baada ya kuitimiza azma yenu ya kishari; baada ya kuwapoteza wenye sauti na kuwapiga mawe wenye hekima; baada ya kuvuna mlichokusudia kwa nguvu. Mmefikia kile mlichokusudia. Mlichokikinga, mlichokilinda, mlichokitimiza kwa nguvu zote.
Mnataka Maridhiano ya aina gani? Je, ni maridhiano ya kumsafisha aliyetenda makosa bila kutubu? Je, ni maridhiano ya kunyamazisha waliojeruhiwa ili msisikie sauti za maumivu yao? Ni maridhiano ya dhati yanayoanza na KUKIRI MAKOSA na KUWAJIBIKA?
Maridhiano bila haki ni usaliti. HAKI za watu ambao wameuwawa, wamepotezwa, wamefungwa, wamejeruhiwa. Maridhiano bila ya wahusika kukiri makosa ni kiini macho. CHADEMA hatuwezi kutumika katika safari ya wananchi kuelekea kusikojulikana.
Maridhiano ya kweli yanahitaji ujasiri wa kukiri makosa, si ujasiri wa kuficha yaliyopita. Yanahitaji haki, si hila. Yanahitaji sauti zote zisikike, si sauti za wapinzani kuzimwa ili zao pekee zisikike. Wapinzani waseme wapi panavuja. Watawala wakiri makosa yao. Tusonge.
Kama mmetimiza mlichokusudia, angalau kuweni na ujasiri wa kusema: Tulikosea, tuanze upya. Tanzania mpya inawezekana. Lakini huo upya wa Tanzania hauji kwa kufuta kumbukumbu za matukio mabaya yaliyotokea. Unakuja kwa kukabiliana na ukweli.
NB; Hakuna mgao wa kipande cha keki ya maridhiano kwenye sahani yenye damu.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Likija Swala La Series Za Intelligence & Crime Maua Waga Nawapa UK (British)
Slow Horses
Vigil
The Bodyguard
Night Manager
The Capture ๐ฅ (Now Watching)
Na Nyingine Nyingi Tu..
Hawa Jamaa Wanajua Kupanga Matukio Vyema ๐ฟ
Highly Recommended ๐ฟ
Ntaanza kupost kazi za uhakika hapa zilizopo Dubai utatuma CV direct kwa mwajiri ukipata kazi mie usinipe hata Tsh mia niombee PEPO pekee ๐๐ฟ
"WOTE TUPATE"
Cv yako hakikisha ina picha yako na elimu na experience zako usisahau Skills ni KEY sana+ email yako na Telephone no yako
Kama unahitaji
Pikipiki kuanzia 750K+
Gari kuanzia 2.5M+
Guta la kuanzia 2.5M+
Bajaj ya kuanzia 3.5M+
Wewe usihangaike nipigie tu ๐๐
CALL/WHATSAPP-0719542184
Simama kidogo usiscroll. โ ๏ธ๐จ
Huyu ni Adam Nsekule.Tangu 2018 anapambana na matokeo ya spinal cord injury kila siku kwake ni vita ya kuishi. ๐๐. Hii si huruma ya maneno anahitaji msaada HALISI. ๐๐ธ. Kiasi kidogo chako kinaweza kubadilisha siku yake leo. ๐โค๏ธ. Ukiwa ndani au nje ya nchi unaweza kumtumia mchango wako. ๐๐คฒ. Ukishindwa kuchangia SHARE hii ifike kwa atakayesaidia. ๐๐ข
Usipite kimya. Unaweza kuwa sababu ya yeye kuendelea kuishi. ๐ชโค๏ธ
๐ 0760749231 (M-Pesa โAdam Nsekule
๐ฒ๐ฐ๐ฆ CRDB: 0152709244900 -Adam Nsekule
โโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโโ-
Stop scrolling for a moment. โ ๏ธ๐จ
This is Adam Nsekule.Since 2018, he has been living with the effects of a spinal cord injury every single day is a fight to survive. ๐๐ This is not about sympathy he needs REAL help. ๐๐ธEven a small contribution from you can change his day today. ๐โค๏ธ. Whether you are inside or outside the country you can send your support. ๐๐คฒ If you canโt donate please SHARE this so it reaches someone who can help. ๐๐ข. Donโt scroll past. You could be the reason he keeps living. ๐ชโค๏ธ
๐ +255 760 749 231 (M-Pesa - Adam Nsekule๐ฒ๐ฐ๐ฆ CRDB: 0152709244900-Adam Nsekule
@MalisaGJ_@Dr_DGwajima@babalao__@mrishogambo@TuliaAckson@SuluhuSamia@WilliamsRuto@vonderleyen@zayedbakhresa@EceJay@FKihamu@HildaNewton21@Sativa255@Thereal_taivina@MkulimaKante@gloria_kimani@LarryMadowo@KennedyWandera_@AAgather@Liberatus80@MarkMwandosya@kigogo2014@MarekaMalili@MariaSTsehai@jmkikwete@mwigulunchemba1@nchimbie@KagutaMuseveni@fbuyobe
#doktamathew
Nipo kwenye kipindi ambacho REPOST yako 1 tu inaweza kuokoa maisha yangu mpaka nikashangaa please do not skip REPOST ๐๐ฝ.
Urban Chill Music T8 2nd GENERATION
TZS 220,000/=
Call/Whatsapp 0716006808