@MwijakuBurton Kwa mtumish wa umma hata ukilipwa take home 250000 tumia cheque namba Yako unakopesheka popote na ukabunu miradi rafik ambayo unaweza kuiendesha ukizingatia kazi Yako kikubwa hapo ni kujitambua na kuwa nbunifu vijan wa Leo wanamiradi mingi Wana pesa ming kwa kuwezeza sehem sahhh
@AbroadTanzania Wasenegal wenyewe wanasemaje achana na wabongo ambao wamekua watumwa kwa kung'ang'ania kizungu na kinawakosesha ajira kwa kufel usahili jinga kabisa
@honoreen34 Hizi ni ishu za kiutamadun lakin wanaotenda matendo hayo wamevaa nguo za staha ambazo ni kama waislama lakin matendo sio ya kidini hii kitu imachanganya sana watu kama ilivyo kwa wazungumzaji wa kiarabu wengi wanajua waislam kumbe Ile ni lugha tu
@city_digest When mwanamke akatambua values yake logic ya mapenz itatoka wap? Then watu wanachanganya kiarabu na uislam ,vazi la waarabu na Iman ya kiislam jaman kanzu,kilemba,sio uislama na kuongea kiarabu sio uislama Kuna waarabu wakristo n wasio na dini lakin wanavaa Kma vazi lao sio iman
@iAmLyimo Tani moja ni kg 1000 sasa kwa mpunga gunia moja la debe 10 likitoka vizur mpunga nzur ambao umevunwa kwa wakat unaweza kutoa kg 95-102& hivyo ili upate tani 1 bas unaitaji mpunga gunia 10-12 gunia la debe 10 lina kg 150-140-130
@iAmLyimo Kilimo bora kinatoa matokeo mazur shamban lakin tupunguze sqeed hayo mengine ni ya kukuvuta tu ukweli mm nalima ifakala kwenye scheme mbegu fupi udumia uwezavyo ekar 1 kibongo bongo ni gunia 20-25 ,-30 tena hapo labda uweke debe 7 utapata 25-30 unless ni gunia 15-20
@Sirajitz1 True story nilijiunga (t.i.a) nikiwa pale kutokana na makuz yangu sikua mtu bata wala mtu wa kujichanganya niliish maisha yangu mwaka wa 1&2 nikiwa mwaka wa 3 nikaanza mahusion na mdada wa coz moja tukamaliza 2012 tumefunga ndoa 2015 tuna watoto 2 tumejenga hataki kaz tupo fresh
@BabaMwita@MariaSTsehai@HildaNewton21@IAMartin_@fatma_karume@Liberatus80 Kujua level la askar sio jukum mama la askar kama ilivyo kwa nwanafunz shule unaweza kukaa chuo miaka 3 na usiwajue malecture ishu hapo anaelewa nin juu ya kazi yake nk ndio jukum mama ili ukitaka kujua level za kila jambo utajichanganya lakin askar huyo akimuona aliemzid anajua
Kijana ana miliki sim janja au ana uwezo wa kupata sim janja ya thaman kubwa iwe kwa kuomba,kuweka ela kidogo kidogo ili lengo lake litimie lakin kijana huyo mwenye simu janja ya 300k analilia mtaan mtaji hana na anashinda social media full mb wakt 300k ni mtaji wa tikiti 60