Uliwahi kujiuliza kwanini kichwa chako hakipumziki hata ukiwa umelala?
Ni kwa sababu umebeba maisha ya watu wengine ndani yako.
Umebeba matarajio ya wazazi.
Umebeba hofu ya kufeli.
Umebeba ndoto ambazo hujui pa kuanzia.
Umebeba tabasamu la kujifanya uko sawa.
Naweza kukusaidia
Zamani ulikuwa ukila kwa watu ukiludi wanakunusa mikono, unukie ubwabwa nyama wakati home daily mboga za chukuchuku, utapigika vibaya mnoo msaada wako ukimbilie uko uliko kula labda😂🫵
Never feel shy about how you make your money. People will always talk, but trust me none of them will show up when rent is due. Keep hustling, your journey is yours alone.
Let them continue growing white hair, having male-pattern baldness and low sperm count.
No matter how much I sensitize them they don't listen.
They prefer regurgitating the misinformation they are fed by the mainstream.
One day, they will wake up.
#FoodFriday
Wakati unamshukuru Mungu kwa mengi na kumuomba usipate shida zitakazokuumiza katika maisha
Kamwe usiasahau kuwaombea pia wale watu wako wa karibu pamoja na wale unaowapenda na wao wasipate shida, kwa sababu shida zao zitakuumiza vile vile kama zinavyo kuumiza shida zako.