@AllyAssed13070 3. But at the same time una asset inayoongezeka thamani. In 5 years, iyo property haitakuwa 100m tena
Value ya real estate investment ipo kwenye equity na sio cashflow. Ukitulia itakusaidia, usipojua cha kuifanyia utaona ujinga
@AllyAssed13070 Watu wengi wanaandikaga argument za kijinga kama hizi alafu nakausha. Ngoja nikuambie inavyofanywa.
1. Kwanza. Nyumba ya 100m kodi sio 300k. Ila tuache ivoivo for the sake of argument
2. Nyumba ya 100m. Unachukulia mkopo wa 80m na kureinvest kwenye biashara
@Afruturist Most folks that Iโve seen wamefanikiwa wanatenganisha mishe na wenza kupunguza mikwaruzano. Unakuta hakuna anaetaka kushuka. Baba anaona mimi ndo baba. Mama anaona nimechangia just as much as wewe i also have a say๐