Wakenya mmenishida tabia— on a very serious note, wakenya wameandika hii memo kumtaka Rais wa Captain Burkina Faso, Ibrahim Traoré, kutawala na Kenya at the same time. Gen Z wanasema wanataka kumfanya rais wa kwanza duniani kutawala nchi mbili kwa wakati mmoja. It's serious!😂