10 Rules to Own 2026 and Finally Win With Your Money, Time, and Life
1. Stop chasing money, start chasing leverage.
Skills, networks, and systems compound. Money follows what cannot be automated or replaced.
2. Income is not wealth. Assets are.
A job pays bills. Real freedom comes from things that earn while you sleep.
3. Protect your time like your life depends on it.
Time lost never comes back. Treat it as your most valuable currency.
4. Multiple income streams are non-negotiable.
One paycheck is fragile. Two is safe. Five is unstoppable.
5. Avoid lifestyle inflation.
Every raise or windfall should fund your future, not your status. Spend with strategy.
6. Invest like a mathematician, not a gambler.
Discipline beats luck. Systems beat hype. Patience compounds wealth silently.
7. Play long-term games with long-term people.
Short-term gossip, trends, and advice steal focus. Build relationships that compound over years.
8. Happiness is internal.
No amount of money, status, or possessions will fix a restless mind. Master yourself first.
9. Your habits are the real capital you compound.
Small daily decisions such as reading, saving, investing, and creating will outweigh occasional big wins.
10. Don’t wait for motivation. Build systems.
Willpower is temporary. Routines and frameworks are permanent.
Bonus: The future belongs to those who prepare today. Don’t just hope 2026 will be better. Make it inevitable.
MIKA LUCAS CHAVALA.
Kitu ambacho anafikiri @MikaChavala kinafanana sawa na fikra za waasisi wa mataifa mengi ya Afrika na waasisi wa Pan-Africanism ambao wengi walikuwa na mtazamo wa kuwa na Afrika moja yenye nguvu moja.
Fikra za MIKA CHAVALA ni sawa na walivyokuwa wanaitazama Afrika watu kama; J.K Nyerere, Marcus Garvey, W.E.B. Du Bois, Kwame Nkrumah, Ahmed Sékou Touré, Haile Selassie, Thomas Sankara, etc.
Leo ubongo wa mtu mahiri kama MIKA CHAVALA hatutaki kuutumia, wahuni wamemkamata na kumpa kesi ya uhaini ili wamnyonge. Halafu bungeni wamempeleka Baba Levo na Babu Tale na Kibajaji. Ni huzuni.
Mfano katika video hii, MIKA CHAVALA anamzungumzia Afrika moja akisema kuwa nguvu ya kiuchumi na usalama bara la Afrika iko katika kuzungumza kwa lugha moja na kutenda kama kambi moja (single bloc).
Anasema kwamba, Afrika iliyoungana ikiwa na pasipoti moja, sarafu moja na mifumo ya kiuchumi shirikishi itapunguza utegemezi wa fedha za kigeni, itaimarisha taasisi kuu za kifedha za bara la Afrika.
Hii itaongeza ushawishi wa Afrika katika wigo wa ushawishi wa kisiasa duniani kote, ikiwa ni pamoja na katika vyombo kama vile Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (United Nations Security Council)
Pia, anasisitiza kuwa kilimo na rasilimali mbalimbali za Afrika zinaweza kuwa rasilimali yenye nguvu ikiwa nchi za Afrika zitashirikiana kwa karibu zaidi katika uzalishaji na soko. Hapa anazungumzia ufungamishaji.
Kwa kuunganisha masoko, kusaidia wakulima wa ndani, na kufanya biashara ya bidhaa muhimu wenyewe kwanza, Afrika inaweza kuimarisha usalama wa chakula na kupunguza utegemezi wa bidhaa za nje.
Anasisitiza, umoja huo utafanya bara la Afrika kustahimili vikwazo zaidi, kuipa Afrika uwezo wa kujiwekea masharti katika biashara ya kimataifa, na kufungua uwezo wake kamili wa kiuchumi.
Hivi akili kama hii unaifungia ndani ya gereza kwa sababu tu aliunga mkono maandamano ya vijana wenzake kudai haki za msingi na haki za kiraia – unammshtaki kwa uhaini ili umnyonge? Mmechanganyikiwa.
Unabeba NG’OMBE za kutosha na kuzipeleka bungeni halafu akili timamu kama hii ya MIKE CHAVALA na wengine wengi unazitunza gerezani kwa kesi za uhaini wa uongo. Ni wazi kwamba HAMJITAMBUI kabisa.
Kimsingi, atapata msaada wa kisheria hata kama mtagoma kumuachia huru bila masharti. You don’t just jail a working brain, instead you have to use it #freemikachavala #freemikachavala
Abrahamu baada tu ya kutengana na Lutu Mungu alimwambia ‘Inua sasa Macho yako’
Kuna watu wakiwa kwenye maisha yako mbali ya kuzuia baraka zako, pia wanafifisha au kuua kabisa Uono(kuona) wako.
~Mwanzo 13:14-15
@Eng_Matarra@ChademaTz They’re turning into a big disappointment sana , CDM walichukua mioyo ya vijana wengi ila they gonna loose it kwa kasi sana na huu upuuzi wanatuonyesha sasa