Sekta ndogo ya Avocado inakua kwa kasi ktk sekta ya kilimo matarajio yetu tutafika 50,000mt by 2030 na 80% ni EU mkt naishukuru sana sekta Binafsi kwa ushirikiano Serekali sasa tunakamilisha kufungua soko la China
Miongoni mwa Maswali ambayo kiongozi wetu anaweza Kuulizwa na waandishi wa habari wa Kimataifa akiwa na Makamu wa Rais wa Marekani yani Kamala Harris ni pamoja na Msimamo wa Tanzania juu ya Masuala ya Ushoga. Tutegemee jibu na Msimamo thabiti toka kwa Kiongozi wetu.
Kama ukivua Hilo koti la USOMI na kuwa mtu wa kawaida,usione aibu, kisa tu unawaza nitaonekanaje,ukishjua nini unataka.hakuna haja ya kuonekana msomi ikiwa unaomba hela ya kula,hakuna haja ya kuonekana msomi ingali unaishi kwa dada,kaka/wazazi..amka kijana pigania ndoto zako.
Kwa mara ya kwanza kabisa, timu mbili za Tanzania kufuzu robo fainali ya #TotalEnergiesCAFCL & #TotalEnergiesCAFCC 🇹🇿✍️
Mafanikio makubwa kwa soka la Tanzania 👏
@IAMartin_@GunKumi Et M8!! We pimbi kweli, Yani idadi ya waliopiga kura 2020 ni 15M. Kwa data zako unamaanisha Chadema ilipaswa kupata almost+55% (8M) ya kura zote katika uchaguzi ambao JPM alishinda kwa asilimia 82😂, au wnachama walisusa? . Acha uvivu was kufikiri, AMKA UTAJIKOJOLEA KAKA.
@IAMartin_ @MadatiMuhammed Hizo ni shida zako nachomaanisha unaandaa mazingira ya kupata nafasi hata za kugombea ubunge kwa hiyo sisi tuache kutafuta hela tuje kusikiliza porojo za politicians. Ww njia uliyoichagua kwenye mafanikio yako usitulazimishe tuifuate
Wakati Mwalimu yupo hai na Mwinyi akiwa Rais, kabla ya uchaguzi wa vyama vingi, kipindi ambacho USD 1 =Tsh 500. Siku kama ya leo nilizaliwa ndani ya Nchi hii iliyojaaliwa watu wenye upendo. Leo ninapoazimisha siku hii,ninaomba dua zenu nizidi kuwa mtu mwenye mchango kwa Nchi hii.
@Tanfootball@azamtvtz@CAF_Online@serengeti_tm@TaifaStars_ Sometimes people they may not come out to speak ,but now days football is not only entertainment but a place where we build our nationhood and peace no matter what we are still together as family. Personal conflicts should not be a reason