🚨💣 BREAKING: Chelsea reach verbal agreement to sign Emiliano Martínez, HERE WE GO! 🔵🇦🇷
Club to club agreement with Aston Villa on fee worth £7.5m for permanent move.
Dibu gave green light to #CFC yesterday and clubs agreed on terms today, as
@TeleFootball
reported.
#chelsea #fypシ゚viralシfypシ゚
🔵🔴 Rodri: “I always wanted Barça, this is where I wanted to be”.
“There are the best players in the world here, and you have to always be at the required level”.
#Rodri#FCBarcelona#culers#Morning#fypシ゚viralシ#Lamine
Unapozungumzia watu ambao ni mastermind huwezi acha kumtaja nguli wa muziki wa hip hop Tanzania, "Wanamwita Sugu Taita Mtata" akina Mapembelo akili zao ziko mbele ya muda mwamba kapambana sana kwenye kusaka mapene ni role model wa vijana wengi wapambanaji ni tafsiri halisi ya kutokukata tamaa.
Ikumbukwe Sugu ndie mmiliki wa Desderia hotel iliyopo Mbeya na kwa sasa ana biashara ya kubadili pesa za kigeni🙌🏾
Kwenye angle ya biashara kiujumla vijana tuna mengi ya kujifunza kwake ni mastermind kweli kweli,Mapembelo Vavene🫂
Mashabiki wa Simba wamekuwa wakizua mijadala mingi kuhusu kiwango kibovu cha Doumbia.
Mashabiki wa Yanga wamekuwa wakisifia timu yao na kupunguza presha kwa Toure licha ya kuonesha kiwango kibovu.
Mashabiki wa simba wana cha kujifunza kwa mashabiki wa yanga kupunguza presha.
Mashabiki wa Simba wamekuwa wakizua mijadala mingi kuhusu kiwango kibovu cha Doumbia.
Mashabiki wa Yanga wamekuwa wakisifia timu yao na kupunguza presha kwa Toure licha ya kuonesha kiwango kibovu.
Mashabiki wa simba wana cha kujifunza kwa mashabiki wa yanga kupunguza presha.
🚨UPDATE
Kagera sugar fc hali mbaya mechi nne bila ushindi,Kaseja akiwa kocha mkuu wa timu hii mpaka sasa hajafanikiwa kushinda mechi hata moja huku wakiwa wameruhusu magoli 1️⃣1️⃣.
Timu inaonekana kukata tamaa kiwanjani na kutojiamini alizungumza Juma kaseja baada ya mechi Jana