الحسد هو استثمار كثير من الوقت والطاقة في حساب نعمة شخص آخر بدلاً من نعمتك
Husda ni uwekezaji mkubwa wa muda na nguvu kwenye kuhesabu neema za mtu mwingine, badala ya kuhesabu neema zako.
Rabbighfirli - My Lord, forgive me
Warhamni - Have mercy on me
Wajburni - Cover my shame
Warfa'ni - Raise my rank
Warzuqni - Give me sustenance
Wahdini - Give me guidance
Wa'afini - Make me healthy
Wa'fu'anni - pardon me
Wanaume wengi hawombi msaada,
Wanaumia kimya kimya.
Lakini ukiona mwanaume anakuomba msaada,
Hiyo ni ishara kuwa wewe ndiye tumaini lake la mwisho.
Usimwache peke yake, msaada wako unaweza kubadilisha maisha yake.