Mada: Kuhusu mabadiliko ya katiba humu nchini na iwapo uongozi na ugatuzi umemfaidi mkaazi wa kaunti ya isiolo . Nambari za mawasiliano hewani ni 0795407909. Itakuwa Moto kuliko pasi. Kwa mpigooo zaidi!!!
#Mawimbi ya macheo# #Hmg chemba mjadala#radio baliti .
Je, corruption na kuwepo kwa nepotism ndiyo masuala ambayo yamekuwa vizingiti vya maendeleo kaunti ya isiolo ? Maoni yako ni yapi? Sema nami kupitia 0795407909
Dida Jaldesa ambaye ni babake Mheshimiwa Rehema Jaldesa ameaga dunia . Mwenyezi Mungu amrehemu na awape familia ,ndugu na marafiki subira wakati huu wa msipa .Mola amrehemu in shaa Allah.
#Chemba la mdahalo # radio baliti isiolo Kenya , #Topic of discussion :improving education sector ,early pregnancies and drug abuse . #Join the conversation through our call in live /text number 0795407909. Don't miss!!!
#Hmg with chief officer department of health isiolo county live on air radio baliti 102.7 FM from 8 am to 10 am today . Join the conversation call in / sms number 0795 407 909 .
Don't miss the live talk show !!!
Youth for health and education is an organization based in isiolo county . Our core objectives are improving health and education by involving youths , government agencies and NGO's .
Mwanariadha wa Kenya Eliud Kipchoge ameweka historia kwa kuwa mwanadamu wa kwanza kukimbia mbio za marathon chini ya muda wa saa mbili ( 1:59:40) na kutimiza msemo wake "Mwanadamu hana Kokomo"(No human is limited).
#Gumzo la Angaaf asubuhi 103.3 #Hmg .
Serikali ya Eritrea imedaiwa kuwalazimisha wanaume wanapooa wawaoe wanawake wawili la sivyo watumikie kifungo gerezani.
Je , Maoni yako ni yepi tukiiga Sheria hii nchini Kenya?