#Gwajima haitakiwi kunyamaza leo wala kesho anatakiwa kuendelea kuongea na kuongea tena kwa ajili ya hii nchi mpaka sasa hawaogopi kabisa na cha ajabu zaidi huwezi kusikia kuna mtu wa CCM katekwa utasikia hawa hawa wanaompinga.
Mwenyekiti wa vijana Geita Mbeshi @MariaSTsehai
KAMA ZINGEKUA NYARAKA UNGEITWA
WARAKA WA KWANZA WA ASKOFU GWAJIMA KWA WATEKAJI
*1 Gwajima 1:1-2*
"Kuhusu UTEKAJI mimi simuogopi Mtu,Siogopi Asubuhi, Siogopi Jioni,Siogopi Mchana.Hata kama ungefunga makanisa kwa miaka mia moja"
📆 16. 07. 2025.
Tunataka serikali tutakayoichagua sisi wenyewe, tunataka kuongozwa na viongozi tutakao wachagua sisi wenyewe ambao watakuwa tayari kututumikia na kuwa watumishi wa wananch
Kwa lugha ya kimtaa kama alivyosema Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam ni #NOREFORMNOELECTION@MariaSTsehai
NDUGU ZANGU, TUSIDANGANYIKE!
Katiba mpya tayari ipo ile ya Jaji Warioba ni ya wananchi. Hawahitaji mchakato mwingine, kikao kimoja tu kinatosha kuipitisha! @MariaSTsehai@Sativa255@mangekimambi@IAMartin_
Katika historia ya mwanadamu na hata maandiko matakatifu, kuna tofauti kubwa kati ya Viongozi wa Dini na Watumishi wa kweli wa Mungu.
Tatizo ni kwamba jamii yetu inawachanganya hawa wawili kana kwamba ni kitu kimoja. Hii ni hatari.