Kijana mmoja napiga nae story anasema alianza kukosa Visa ya Israel akaona sio kesi akaomba Australia akafanya kila kitu napo wakamtupa 🤦
Nkawa najiuliza kumbe Watu mpaka Israel wanaomba kwenda na wanakosa 🙌🏻
@njiwapori_ Nlikuwa siamini hii kitu, hadi ilipomtokea ndugu yangu wa karibu kabisa, ambaye anaishi na bibi yetu ambaye hana nguvu ya kuvunja icho kibubu wala uwezo wa kwenda kufanya matumizi yoyote.
@prossoff Kunaweza kuwa na ukweli kiasi lakini sio kugenerilize kuwa ni wote. Nafahamu baadhi ya Taasisi za serikali ambazo watumishi wake wanafanya kazi sana...
CAF CHAMPIONS FINAL 2025🔥🔥
Hongera kwa Mabingwa PYRAMIDS🏆🏆🏆 Well Deserved👏🏽
Nimekuekea magoli magoli yote kuanzia kwa King mayele.
Credit video : Supersport🎥
Tizama hapo chini 🧵👇🏽
@julip202 Hiyo Geomatics anaijua au amehadithiwa, hao ndo wanapoteza future za madogo kwa story za vijiweni. Achana na bongo Geomatics ina soko dunia nzima na kila sector.