@BesteNicolas Walipizi, wana lipiza kisasi hata baada ya miaka kumi, yaani ukimfanyia kosa leo na kama hana nguvu za kulipiza leo atakaa nalo moyoni hilo jambo na kukusanya nguvu na anapozipata atakulipizia kisasi ila ni mabingwa wa kusamehe kweli.
@Noisemakers31@mangekimambi Wakisema wanayaunga mkono hayo mambo hata umueleweshe mtoto wako vipi? Hawezi kusalimika coz visababishi ni vingi yaani mkuu hauionei hata huruma jamii yako.. hivi unaona ongezeko la vijana wadogo walivyoathirika na ushoga na ukahaba unazani nini kinachangia sana?
@Noisemakers31@mangekimambi Labda kuna kitu haujakielewa kuhusu nini nashahuri, iwekwe sheria kuwa hao wamiliki wa twitter X wawe wanazuia mahudhui ya ushoga/usagaji yaani ngono kiujumla, wakiona yamewasilishwa wayaondoe haraka.. nafikiri haujanielewa, wao X wanauwezo wa kufanya hivyo
@Noisemakers31@mangekimambi Haina mtetezi chief yote inabidi iwekewe sheria kwa kutunza vizazi vyetu.. chanzo mojawapo cha ukahaba na ushoga na usagaji tabia mbaya nyingi ni mtandao
@fumbokhanJr Ifike kipindi sasa washabiki waache ushabiki maandazi wa simba na yanga na waanze kushabikia na timu zingine.. timu toka miaka ya 30 na hazina viwanja ni ujinga kabsa.. wasapotini wengine, wanachama na mnachangia timu zenu na pesa wanagawana tu hawana wanachofanya
@mangekimambi Madaraka kama, Uraisi, ubunge, uwaziri na madaraka mengine makubwa hata angeshika baba yako mzazi asingeyafanya sawa sawa kama wanavyotaka wananchi, kikubwa sisi raia watanzania tunajua hakuna aliyekuwa mkamilifu so tumekubali kwenda na viongozi wetu na hakuna mkamilifu tunafaham
@millardayo Nikajua ni wa kiume ila kanifanyia maksud so nikawa namkolomea akaanza kulia na nikawasha taa, nikaona huruma nikambembeleza ndio akanambia kua anajinsia mbili ila moja haifanyi kazi akanionyesha, nikahoji maswali akanielezea, aisee unaweza ukauliza hivi vitu kwa nn? Vinatokea
@millardayo So sad, katika hangaika angaika zangu nikapatana na kasichana kazuri, tukawa wapenzi, miez minne baadae nikakaomba tendo kakakubali ila hakunambiaga kama kana jinsia mbili, tulipiingia ndani kakaomba tuzime taa, tukazima mchezo ukaenda baadae nikagundua na nikamwabia mbona sielew