Kile utakachokipanda ndicho utakachovuna. Ukitumia karama, baraka na nafasi alizokupa Mungu kuumiza wengine badala ya kuwa Baraka utavuna taabu.
Asubuhi ya leo ninakuombea, Mungu akupe Neema yake, ubarikiwe sana nawe ufanyike kuwa Baraka kwa ajili ya utukufu wake.
NENO LA JIONI:
Yoh:14:13 Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu nami nitalifanya.
Math:21:22 Mkiamini mtapokea lolote mtakalo omba katika sala.
Math:7:7 Ombeni nanyi mtapewa tafuteni nanyi mtapata bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.
Pinned post kuna ujumbe wako 🤲❤️🙏.
Unayaweza mambo yote katika yeye akutia nguvu. Asubuhi ya leo ninakuombea neema ya Mungu iwe juu yako ukatimize malengo yako na kusudi alilokuletea hapa dunianj.
USIOGOPE
Utupu, Giza na Ukiwa vilikuepo tangu zamani, na Mungu alishavishinda. (Mwanzo 1)
Ni zaidi sana kwetu sisi watoto wake, ushindi kwetu ni hakika.
Asubuhi ya leo nakuombea Neema ya Mungu ya ushindi iambatane nawe.
Haijalishi ni mazingira gani ulipitia , bado una nafasi ya kutengeneza future ya uhakika.
Baadhi ya dondoo za jana tulizokua nazo kwenye tukio letu la YOUTH OVERNIGHT
Ingia https://t.co/BHVWRoDDxL
Angalia nani kashinda Tender
Nenda tafuta website yao, namba zao na linkedIn profile
Wapigie simu, tuma emails wapongeze kwa kushinda
Omba kazi
Ajira portal wanaweka baada ya kukosa huku kote, ama kama Gelesha
Hii Tip alitupa @nickyrabit
Ukianza kupiga Michongo ya Pesa mtandaoni
Paypal account ni muhimu sana.
(Paypal ya UK/USA)
Sites nyingi zinalipa kwa kutumia Paypal Account
Hivyo inatakiwa uwe nayo unapoanza harakati hizi.
(Hakikisha unayo)
Njia rahisi ya kupata Paypal Account ya UK/USA
🧵
Jinsi Nilivyotengeneza Tshs 7,499,315 Ndani ya Siku 29 Kwa Kuuza eBook Yenye Pages 97 Mtandaoni...
NA...
...Jinsi Utakavyotengeneza Pia Katika Biashara Yako Kama Utatumia Mfumo Huu wa Siri wa "RSS"
Ikitokea Hujatengeneza Pesa yoyote Ndani 👇
Josè Silva, mwandishi wa kitabu kiitwacho "Mind Control Method', anasema kuwa ikiwa mtu anataka kuijua na kuidhibiti dunia yake ya ndani hana budi kujifunza jinsi ya kutumia JICHO LA TATU ipasavyo.
Anasema kuwa mbinu nzuri zaidi ya kufungua jicho la tatu ni kutafuta..
.
.
Platforms unazoweza kulipwa $$$ kwa kufundisha lugha mbali mbali.
1. VIPKid - Fundisha kingereza, kwa watoto wa kichina
2. iTalki - Fundisha lugha tofauti tofauti, kwa rates zako mwenyewe
3. Verbling - Hawa wanatoa fursa ya kufundisha lugha tofauti tofauti.
Thread 🧵