@Zephania_Ndaki Huwez kufungia gym wala kuzipinga ni aina ya watu tu akilia zao za matakoni ndio shida ulam naenda napiga zoez na narudi daily fanya kitu kimekupeleka kule sio kuanza Ku angalia watu vifua unatuliaa unamchek mwanaume mwenzio kifua au six pack atakutongoza tu ww nenda maliza sepaa
@Elisalinah31 Ni kweli kbsa yule mjaluo kipara sio Millard ila nyuma yake kuna maelekezo kibao kwa jinc laivyoikalia TZ kooni anachozingatiaa kwa sasa n kujibu tu page zinazomkataa Millard hawez fanya hivyo
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Huyu aliekupa habari mnafiki na ww maria mtu mmoja mjinga sana nilijua unaakili kumbe taka taka kabisaa, tangia lini au umeona wapi vikosi via znz kufanya Kaz za Muungano?? Haiwezekan na haitowezekana adi mwisho wa dunia au labda Tanzania itokee vita ..