Ni kweli kabisa licha ya warsha walizofanya lakini bado ipo haja serikali kuandaa tena mafunzo maalum yatayowafanya vijana na jamii kwa ujumla kuelewa dhana mzima ya uchumi wa buluu
#UchumiWaBluuKwaVijana@OthmanA29443601@PembaYouthVoice
Licha ya kuwa serekali imeshafanya warsha mbali mbali bado jamii ya waliowengi wanaonekana kutokuwa na elimu ya uchumi bluu . Je!unadhani serekali inapaswa kufanya nini ili kuhakikisha kila mmoja ameelewa dhana hii?
#UchumiWaBlueKwaVijana
Licha ya elimu hio pia ipo haja ya kupatiwa dhana ama vifaa vya kisasa zikiwemo boti za kisasa kama ahadi ya Mh.Rais wetu mpendwa @DrHmwinyi ya kuleta boti za uvuvi zinazoendana na uvuvi wa kisasa
#UchumiWaBluuKwaVijana
@wizarayauchumiwabluu
Ni kweli kabisa,lakini kwa upande wa vijana bado hawajajua umuhimu wa uchumi wa bluu na fursa zilizopo hivyo basi serikali itoe mafunzo kwa vijana hao kuelewesha juu ya uchumi wa bluu na fursa zilizopo
#UchumiWaBluuKwaVijana
Rasilimali za bahari zinachangia zaidi ya asilimia 30 katika pato la taifa la Zanzibar na kutoa ajira ya moja kwa moja kwa wananchi zaidi ya asilimia 25. Je!vijana wa zanzibar hili wanalitambuaje?
#UchumiWaBlueKwaVijana
Ni sahihi elimu ni ufunguo wa maisha ya binaadamu na pia ni taaluma ambayo mtu huipata wakati anapoitaka hivyo basi ni wajibu wetu kuwanasihi watoto wetu walioacha shule warudi ili kuweza kuendelea na masomo na mwisho wa siku tupate taifa lililoelimika
#RudiShuleJengaMaishaYako
Tufahamu ya kuwa Elimu ni ufunguo wa maisha,hivyo basi kila mtu ana haki ya kupata elimu iwe kwa mazingira yeyote yale ili mwisho wa siku tuapate taifa lililoelimika
#RudiShuleJengaMaishaYako@UNICEF@HakiElimu@wemazanzibar
Ni jambo jema kama Serikali itaamua kufanya hivo na hata jamii itafarijika na kuona kuwa Kodi zao zinatumika ipaswavyo
#KodiYanguKwaElimu@PembaYouthVoice
Vijana wa Pemba tunaihimiza serikali kuhakikisha kunajengwa vyoo Madhubuti mashuleni kupitia kodi za wananchi kuondoa adha ya vyoo kwa wanafunzi
#KodiYanguKwaElimu
Ni kweli kabisa watu wenye mahitaji maalum pia wanahaki ya kupata miundombinu iliobora ili kupata usawa na wanafunzi wengine
#KodiYanguKwaElimu@PembaYouthVoice
Ni kweli kabisa Zanzibar yetu tunao uwezo huo na tunatarajia kuwa ni nchi moja ilioendelea na haya tutayapata pale watoto wetu watasoma na kufanya ushindani kwenye masomo yao na kuacha utoro
#RudiShuleJengaMaishaYako@UNICEF @PembaFemaleYout @PembaYouthVoice
Ni kweli kabisa Zanzibar tunauwezo wa kuzalisha wataalamu na wasomi wa kila sekta hii ni kutokana na juhudi zetu wazazi,walimu na walezi katika kuwasimamia watoto wetu ili waweze kupata elimu bora
#RudiShuleJengaMaishaYako@UNICEF @PembaFemaleYout
Ni kweli kabisa Zanzibar tunauwezo wa kuzalisha wataalamu na wasomi wa kila sekta hii ni kutokana na juhudi zetu wazazi,walimu na walezi katika kuwasimamia watoto wetu ili waweze kupata elimu bora
#RudiShuleJengaMaishaYako@UNICEF @PembaFemaleYout
Watetezi wa haki za binadamu Tanzania leo tumejumuika ili kuadhamisha siku ya haki za binadamu ikiwa ni maadhimisho ya saba tangu kuanzishwa kwa siku hii. @HakiElimu ambayo ni mtetezi wa haki ya elimu kwa watoto wa kitanzania inashiriki katika tukio hili.
Ni kweli kabisa jukumu la mtoto kupata elimu ni kwa wazazi kuhakikisha kuwa mtoto anapata haki zake zote za msingi ili mwisho wa siku tupate wataalamu wenye sifa na hadhi na kutuletea maendeleo katika kisiwa chetu
#RudiShuleJengaMaishaYako
@PembaFemaleYout @HakiElimu
Serikali kushirikiana na wadau wengine wa maendeleo ichukue jitihada ya kukarabati vyoo vilivyoharibika ili kuongeza idadi ya matundu ya vyoo shuleni #KodiYanguKwaElimu
Lakini pia iamue kuatafuta misaada iwe kwa mashirika binafsi hata wadau wengine wa maendeleo ili kupunguza kadhia hii kwa ndugu zetu na hata watoto wetu pia
#KodiYanguKwaElimu@PembaYouthVoice
Ni kweli kabisa hata wahenga walisema kuwa usipoziba ufa utajenga ukuta hivyo basi Serikali iamue kwa makusudi kulifanyia njia mbadala itayoweza kuleta mabadiliko na kupata vyoo vyenye ubora zaidi
#KodiYanguKwaElimu@PembaYouthVoice
Ni kweli kabisa hata wahenga walisema kuwa usipoziba ufa utajenga ukuta hivyo basi Serikali iamue kwa makusudi kulifanyia njia mbadala itayoweza kuleta mabadiliko na kupata vyoo vyenye ubora zaidi
#KodiYanguKwaElimu@PembaYouthVoice
Kutokufanyia ukarabati vyoo mashuleni kwa wakati kutoka kwa mamlaka husika hupelekea tatizo la ukosefu wa vyoo na kuleta adha kwa wanafunzi.
#KodiYanguKwaElimu
kwa upande wa mabaraza ya miji na Halmashauri pia ipo haja ya kutenga bajeti maalum ktk makusanyo yenu kwa lengo la kuwawekea mazingira bora watoto wetu mashuleni kwa kujenga na kuboresha miondombinu ya vyoo. #KodiYanguKwaElimu@sfoundationtz@GermanyTanzania@GermanyTanzania
Kwann tuseme ipo haja kwa mifuko ya Jimbo kuelekezwa ktk kuboresha vyoo mashuleni? Sababu hali ni mbaya kwa baadhi ya shule kisiwani pemba unaweza kuona tundu moja la choo linatumiwa na zaid wanafunzi 100 . #KodiYanguKwaElimu@elimuyaafya@mohznz@HakiElimu@PembaVoice