Guest of Honour Mr. Joseph Kashushura Rwiza, District Executive Director for Kasulu Inaugurating Kasulu Community Telecentre equiped with FOUR Computers that was bought by PARTICIPANTS' fundraising for the 3rd Edition of #TZ School of #CN.
Sponsors:
@APC_News@UcsafT@AFRINIC
#Bajeti huelezea fedha zitakavyokusanywa kutoka kwa wananchi na namna zitakavyogawanywa katika ngazi mbalimbali na idara za serikali kwa kuzingatia #Vipaumbele mbalimbali.
#VijanaMakini#BajetiShirikishi
juu ya malezi ya watoto. Amewashauri waumini kutumia jumuiya pamoja na mambo mengine pia zitumike kama sehemu za maonyo na kuwafanya watoto na vijana kukua katika maadili ya kumpendeza Mungu na wanadamu wanaomzunguka kwa kutenda mema.
Wakulima wa chumvi kisiwani Pemba waipongeza Swahili Coast Salt kwa jitihada zao za kuwapatia mafunzo ya uzalishaji bora wa chumvi.
Wamesema mafunzo haya yatawasaidia kuongeza kiwango cha uzalishaji na kuwapunguzia hali duni ya maisha.
Nafikiri sasa ni wakati umefika kwa Serikali ibinafshishe huduma za vivuko kuwapatia nafasi makampuni binafsi kuwekeza katika kutoa huduma za kuvusha watu na magari Kigamboni. @temesatanzania wameshindwa kazi kabisa. 🤦🏽 cc: @SuluhuSamia@KassimMajaliwa_@DocFaustine
"AWENA" hakujua umuhimu wa kuhudhuria clinic mapema baada ya miezi 9 kwenda clinic akiwa amechelewa. Hakuwa amejipanga wala kujiandaa. Na kusababisha kifo cha mtoto. Je unadhani ni njia gani sasa za kumshauri Awena pindi atakapopata ujauzito wa pili?
Je wajua, Faida za kuhudhuria Kliniki kwa mama mjamzito ni:
- Kutia hamasa na kuimarisha afya ya mwili.
- Kutambua na kutibu mapema matatizo ya afya ya mama na kasoro za maumbile.
- Kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
Umesikia madhara ya kujifungulia nyumbani? Na faida za kujifungulia hospitalini? Sidhani kama mjamzito unatamani yakukute! Maumivu yasiyovumilika, ni sawa na kuchungulia kaburi.
Je kwa mtazamo wako njia ipi ni bora kati ya kujifungulia nyumbani au katika kituo cha afya? Kwanini?
Je unajua!
Mjamzito na familia yake wanatakiwa kujiandaa kikamilifu kuhusiana na fedha kwa ajili ya kujifungua, akiba kwa gharama za usafiri, matibabu, mahitaji ya mama na mtoto, kuweka mtu wa kuambatana nae wakati wa kujifungua hata kama amejianda kisaikologia na kisaikologia
📢ANNOUNCEMENT!
Gather around One Young Africa, we have wonderful news.
The YouLead Summit is back! From 5th - 9th December, Africa’s largest & most diverse youth forum!
Leave a 👍🏽 if you cannot keep calm and tag a friend!
Stay tuned to our socials for more details.
Bibi "usile mayai utazaa mtoto hana nywele." Ukweli ni kwamba mjamzito anapaswa kuhudhuria clinic mara 8 kwa kupata huduma kama elimu na ushauri nasaha, kupima afya, kutiwa hamasa na kuimarisha mwili, kutatua matatizo yake na kupatiwa kinga ili kupata afya bora ya mama na mtoto.