@ikulumawasliano Mfanyabiashara wa Nigeria, Aliko Dangote amethibitisha mipango ya kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta nchini Kenya kitakachogharimu kati ya dola za Marekani bilioni 15 hadi 17 [TZS trilioni 44.6].
Kiwanda hicho kinatarajiwa kuzalisha bidhaa za mafuta kwa ajili ya soko
Mungu anajua ni lini, kwa nini na jinsi gani. Anajua wakati sahihi, mlango sahihi na fursa sahihi. Kwa hivyo jitokeze, fanya sehemu yako, kisha umruhusu ashughulikie mengine.