FAMILIA YA HECHE YATEKWA USIKU WA KUAMKIA LEO NA POLISI
@Heche_M_Enock mdogo wake Makamu Mwenyekiti CHADEMA na watu wengine 4 wamekamatwa usiku wa kuamkia leo katika Mji mdogo wa Sirari Wilaya ya Tarime na wamepelekwa kituo cha Polisi Tarime
Polisi hawasema sababu za kuwakamata
@HildaNewton21 Gwajiboy anamnyima kabisa usingizi mama Abdul na hivi alivyokaa kimya muda mrefu bila kuzungumza mama Abdul anakosa amani maana hajui Gwajiboy anasuka bomu gani lingine la kuja nalo kwa wananchi kabla ya uchaguzi ili kuvuruga kabisa huu uchaguzi usio wa haki😂
TAREHE 29.10.2025 NI SIKU YA BIRTHDAY YA MWAMBA HAYATI JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI🎉
KWA WALE TUNAOPENDA KUMUENZI KWA ALIYOYAFANYA HUYU MWAMBA KWENYE NCHI YETU YA TANZANIA TUJITOKEZE KWA WINGI WETU SIKU HIYO KUSHEREHEKEA HII SIKU 🙏
#Samia#Mafwele
Msikose😂
#TUTAKUWEPO🇹🇿
Yajue makosa ya Humprey POLEPOLE
1:Ni kukataa uchaguzi kiini macho
2:Kusema namna Magufuli alivyotendwa na wana mtandao
3 :Kukataa utekaji kwenye nchi yetu
4:Kukataa nafasi ya ubalozi na kusimama kwenye haki
Haya ni MAKOSA MAKUBWA ambayo hukumu yake ni KUTEKWA NA KUPOTEZWA
Danieli 5:25-28
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
PERESI, ufalme wako umegawanyika,...