@kasesco_tz ππππila huwa mnapaonea sana Iringa basi tu. Maji mzuri na mji msafi sana sema Kila mshikaki mseme ni Nyama ya Mlinzi/night patrol π
@kasesco_tz DH (Dingi Hana Uwezo) nilinunuliwa 1996 nikiwa std 2 nikaweka sol ya Tairi nikaivaa mpaka darasa la 5. Na ilikuwa kubwa kuzidi unyayo wangu so Nilikuwa nayo π π
@zoetjesheeftX Tuliojenga tunajua ukweli. Vitu vya ujenzi viko ghali sana kwa sasa so 15mil ni sahihi maana keshafanya finishing hatua ambayo Kila kitu hubadili lugha kutoka kiswahili kuwa kingereza. Unayebisha, jaribu wewe
@Infantry47@kasesco_tz Hahahahahaaππππππumenikumbusha Kuna mtu aliniambia huyu Jamaa anaitwa SPECIAL HIRE ana magari mengi sana. Special hire ni gari ya kukodi/shwa kwa shughuli mbalimbali
@Mastown_ Nilianza kuitumia 2004 na kuisajili kwenye usajili ule wa kwanza 2007 kipindi hicho voda ilikuwa 0744 then wakaibadili kuwa 0755 ninayo mpaka kesho na kesho kutwa n.k
@godbless_lema Na wanasahau neno hili
11 Kwa sababu hukumu juu ya tendo baya haitekelezwi upesi, mioyo ya wanadamu huthibitishwa ndani yao ili kutenda mabaya.
Mhubiri 8:11
@DanfordTun96400 Do epic Shit by Ankur Warikoo au The daily Laws by Robert Greene au The Laws of Human Nature by Robert Greene na mwisho soma Tajiri wa Babeli kimeandikwa na George S. Clason. Utanishukuru siku Moja. Asante