@MiriamMkanaka@privaldinho Huyu Priva ni kama anawekwa!!! Tabia zake sizielewi kabisa 😃🙌
Sasa kama Micky Jnr hajapost, priva si ana account kwanini asipost yeye tu. Kwani huyo Micky ana umuhimu gani pale yanga?
Wewe kama unaona ni kitu kizuri post wewe, huwezi jua mtu mwingine ana ratiba gani nyingine