@Zackajr@Sativa255@Eng_Matarra legitimate ya upinzani inapotezwa na keyboard warriors kujifanya wajuaji wa kila kitu serikali imechangisha after uchangishaji holela na baadhi ya watanzania kuonyesha wanahitaj kuchangia
BREAKING: Today, the United Nations voted 170-6 on "The Right of the Palestinian People to Self-Determination".
Those voting against:
🇺🇸United States
🇮🇱Israel
🇦🇷Argentina
🇵🇾Paraguay
🇫🇲Micronesia
🇳🇷Nauru
@Ponsioopilatooo@AbroadTanzania fatilia historia ya nchi ndio utaelewa shida yako ni chuki wanachopitia gaza ndio tulichopitia sisi during colonial era ndio maana licha ya nyerere kuwa mkristo alisimama na watu wa Palestine 🇵🇸 . Palestine huru ni ndoto ya kila mpenda haki
@Dr_DGwajima@tanpol hata vitabu vya dini vinasema tusiwanyime watoto viboko huu uzungu ndio unazalisha kizazi cha ovyo angalia kiazazi kilichopita kilivyokuwa na maadili then linganisha na hichi na kijacho sio lazima kuchukua kila kitu kutoka magharibi
@ndoro_j@Generalmud12 @MdemuPolycarp @kikomasta mtu anarusha makombora kila siku anakuwa maskini western media zinawadanganya sana wewe fikiria mtu ana vikwazo na bado anafanya majaribio
@drpaulakika@DrEliDavid i feel bad for african being on the side of colonization. Truly if you ancestors were alive , they would curse you. what is happening in Gaza is what we went through
@TweveDevota@Dr_DGwajima@RebecaGyumi@CarolNdosi Je mtoto ametenda kosa gani? speaking from experience sometimes watoto wanapaswa kuadhibiwa sema umagharibi unazalisha kizazi cha hovyo leo mzazi akiadhibu mtoto mnasema ukatili huu ni upuuzi sana