@godbless_lema Tanzania bado wataalamu wa Lishe hawajapewa kipaumbele katika kufanya kazi yao, kwanza wametengwa na mfumo mzima wa Afya, hawachukuliwi kama sehemu ya kada ya afya. Na hata majukumu wanayopangiwa unaona kabisa hayawapi nafasi ya kutumia walichokisoma kusaidia jamii.