Ukiwa Kiongozi utafanya maamuzi magumu yatakayoamua mustakabali wa maisha na biashara za watu. Watu watakaoguswa watakuchukia sana. Wengine watakuombea ufe, mfano ni kama pale nilipopata life-threatening ajali. Jua kwamba dhamana yako ni kufuata sheria. Zifuate. Utakuwa huru!
MIDWEEKMOVIE (Saa 3:30 – 5:00 Usiku)
MSHENGA PART 1&2
Maija amechumbiwa na Mzee Chimbu lakini mapenzi yake yako kwa Mau, mshenga aliyepewa dhamana ya kwenda kumchumbia. Unadhani itakuwaje Mzee Chimbu akigundua Maija anampenda Mau? Tupia jicho
lako EATV muda huu.
#MIDWEEKMOVIE