@ZaynSalma1 Tatizo wanawake wenye sifa hizo wengi hawawaheshem waume zao, afadhali huyo kafuata tako msipowaheshimu waume zenu na kutimiza wajibu wenu atafuatwa hata house girl. Wanaume hatupendi kelele za wanawake kabisa.
@KhalfanHussei12 @MalakiNabii @swahilitimes Hata kama nao wanaweza kutumia fursa hyo hyo kuidhihak dini yako, hawajui walitendalo, ongea nao kwa upole wanaweza kuiona njia ya haki.
@MalakiNabii @Aminata83308275@swahilitimes N wapi yesu alipokukomboa, kama yesu ameshakukomboa kwanini bible inasema tutubu zambi zetu, ni zambi zp hzo ukiwa ushakombolewa?
@MalakiNabii @Aminata83308275@swahilitimes Kwenye kiswahili dini ni nini, dini c neno la kiswahili lete maana ya kiswahili mbona unazunguka sana, kamusi c zipo nyingi tu, unakwama wapi?
@MalakiNabii @Aminata83308275@swahilitimes Mzee baba huna hoja za mashiko naona waanza kunitusi, punguza jazba sasa, sasa fuatilia dini zingine bila ya kuleta ushabiki wa imani yako, na kila utachouliza dai andiko maana ndio miongozo wa hz imani, ukifanya hivyo utaijua dini ya kweli, ila hapo ulipo sipo.
@MalakiNabii @Aminata83308275@swahilitimes Kwanza acha kudanganya ukristo umeanzishwa Italy na waroma, na ndio maana dhehebu mama la ukristo n RC yaan Roman Catholic.
Kumbe hujui hata walioanzisha ukristo, sa ndio ujiulize iweje Yesu aishi Yerusalem af ukristo uanzie Italia.
@MalakiNabii @Aminata83308275@swahilitimes We mzee hatuongei kwa mapenzi yetu, tuongee kupitia maandiko, ni andiko gani linasema ukiristo ni dini?, kwanza unajua maana ya kristo?