@MagufuliJP Sawa mh,Mimi naomba uruhusu UHAMISHO Wa walimu,mke wangu ni Mwl ni miaka 10 sasa tangu tufunge Ndoa tunaishi mbali mbali sababu haujaruhusu.mpaka salsa Ndoa yangu iko matatani ruhusu uhamisho mh kuokoa Ndoa yangu kero yangu ni hiyo tu, mengine uko sawa,100% .
Uhuru wa kupewa. Demokrasia ya kupewa. Tusipobadili hii historia ya miaka karibu 60 sasa, nchi itaendelea kuwa ya Watu walalamishi wanaosubiri kupewa tu. Uwezo wa kubadilisha tunao kwa kutumia Umma. Tubadilishe historia hii kwa kuchukua Demokrasia yetu badala ya kusubiri kupewa
@swahilitimes@Nnauye_Nape Inategemea na mukosoaji huyo ninani maana cku hizi mtu akibanwa tu mambo yake anageuka Kuwait mukosoaji waltz wanataka maendeleo tu