Wanao mshauri Rais kufunga social media ni watu wanao Kula wakishiba lakini taifa letu ni taifa tukufu lenye Uhuru Mr prozzo hawezi fanya kitu kama hicho
Pineapple growing in Kilifi is an eyes opener 2many jobless youths. Geoffrey Koros,all the way from Bomet is doing wonders in Kilifi as pineapple farmer.He's encouraging youths 2stop joining terrorism 2earn money,saying clean money is in farming. #2007NeverAgain#KDFChina Kisii
Tukisema Kenya kikosi cha team ya taifa kinahitaji Sura mpya wakenya wengine pia wapewe nafasi kuonyesha uwezo WA Kwa hiyo team ya taifa sio Nyanza na western Tu. Pekee kumekucha +254 wakuu WA nchi ujumbe uwafikie coach awachwe afanye KAZI yake..