Silaha mbili walizobaki nazo CCM na Samia Suluhu ni Wasanii na Mpira……
Watanzania lazma tuzi neutralize hizi silaha.
Leo msanii namba moja Tz, Diamond kaenda kutoa pole kwa mtu alieua mashabiki wake hata mwaka haujaisha,
Hata uchungu na mashabiki wake waliouawa ila ana uchungu na yule alieua mashabiki wake ili tu yeye maisha yake yaende.
kwanini Watanzania tunashindwa kuachana na wasanii kama hawa??
"Incredible humanity, @Indianajosee! 👏 The water project you did for the community is truly inspiring and heart-warming. 💧❤️ Whenever your travels bring you to Tanzania, you are most welcome! Karibu sana! 🇹🇿"
@Indianajosee
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia askari watatu waliokuwa zamu katika eneo la Ngorongoro, kufuatia kifo cha kijana Sefu Musa, aliyefariki baada ya kudaiwa kujeruhiwa wakati akishikiliwa na askari hao.
Tukio hilo limetokea Agosti 12, 2026, ambapo Sefu alikuwa akisafiri pamoja na Abdallah Nuru na Salim Hamisi kuelekea Babati mkoani Manyara kuhudhuria mazishi ya rafiki yao.
Kwa mujibu wa Abdallah Nuru, walipotea njia na kuingia katika eneo la Ngorongoro, ambako walikamatwa na askari hao na kuhojiwa kuhusu sababu ya kuwepo katika eneo hilo.
Abdallah anadai kuwa baada ya mahojiano waliamriwa kuvua nguo na kulala kwenye miba, kabla ya kudaiwa kupigwa. Baada ya hali kuwa mbaya, aliwapeleka wenzake Hospitali ya Lutheran Karatu kwa ajili ya matibabu.
Hata hivyo, Sefu Musa alifariki dunia njiani akiwa anapelekwa hospitalini kutokana na majeraha aliyodaiwa kuyapata, huku Salim Hamisi akiendelea kupatiwa matibabu.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema askari hao watatu wanashikiliwa kwa ajili ya mahojiano, huku uchunguzi ukiendelea kubaini ukweli wa tukio hilo na hatua stahiki kuchukuliwa endapo itathibitika kuwa walikiuka sheria na taratibu za kazi.
@MariaSTsehai@japan@MOF_Japan@MofaJapan_en@UNHumanRights@amnesty Kweli samia kiziwi yuko kwa maslai yake binafsi kwanini asitujenge miundombinu yuko bize na utekaji sponsor yoyote ajitokeze anipe risasi na kufanae huyu chura anae tuwa na Vinwaji feki bado ana tu Teka why chura kiziwi chura kiziwi na rudia tena why 🥺😭😭😭😭
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia askari watatu waliokuwa zamu katika eneo la Ngorongoro, kufuatia kifo cha kijana Sefu Musa, aliyefariki baada ya kudaiwa kujeruhiwa wakati akishikiliwa na askari hao.
Tukio hilo limetokea Agosti 12, 2026, ambapo Sefu alikuwa akisafiri pamoja na Abdallah Nuru na Salim Hamisi kuelekea Babati mkoani Manyara kuhudhuria mazishi ya rafiki yao.
Kwa mujibu wa Abdallah Nuru, walipotea njia na kuingia katika eneo la Ngorongoro, ambako walikamatwa na askari hao na kuhojiwa kuhusu sababu ya kuwepo katika eneo hilo.
Abdallah anadai kuwa baada ya mahojiano waliamriwa kuvua nguo na kulala kwenye miba, kabla ya kudaiwa kupigwa. Baada ya hali kuwa mbaya, aliwapeleka wenzake Hospitali ya Lutheran Karatu kwa ajili ya matibabu.
Hata hivyo, Sefu Musa alifariki dunia njiani akiwa anapelekwa hospitalini kutokana na majeraha aliyodaiwa kuyapata, huku Salim Hamisi akiendelea kupatiwa matibabu.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema askari hao watatu wanashikiliwa kwa ajili ya mahojiano, huku uchunguzi ukiendelea kubaini ukweli wa tukio hilo na hatua stahiki kuchukuliwa endapo itathibitika kuwa walikiuka sheria na taratibu za kazi.
@zoetjesheeftX Daaa huyu mana ame nifanya hadi nika liaa kama mtoto aise Tanzania ni nchi yaa ajabu sana tukuwa chini yaa gaidi samia hakuna rangi tuta acha kuona
🚨‼️INTERNATIONAL ALERT‼️
@japan@MOF_Japan@MofaJapan_en@UNHumanRights@amnesty
Serious concern after two weeks of search and Tanzanian Rachel Dangwa has disappeared in Japan
She is an outspoken critic of Samia Suluhu and has been repeatedly threatened by Suluhu’s men
She left home last Friday evening and never returned! Her phones are off, her cards and IDs have not been used - she didn’t take any change of clothes, NOTHING!
Where is Rachel Dangwa?
We need answers!
Tuongee UKWELI huyu Samia yeye mama yake ni MUARABU wa OMAN Na watoto wa BONGO ZOZO nao mama yao ni MTANZANIA tena MUHEHE Swali je kama.SAMIA angenyang'anywa Uraia angeweza kuwa RAIS wa hii nchi?
Tusinyime watoto HAKI zao za URAIA