Ndugai alipofanya #DutyToWarn ⚠️ wakamtengua. Hali ni mbaya hasa kwa sababu kuna ujambazi wa kutisha unaofanyika kwa mgongo wa operesheni za utekaji na uf*raji na mauaji.
Unafahamu kumtumia afisa mmoja wa kitengo nje ya nchi kwa ajili ya operesheni hatari ya kudhuru mtu/watu hugharimu takriban sh 500,000,000 kwa mtu mmoja kwa mwezi (ukibadilisha kwa TZS)? Sasa muda huu kuna maharamia zaidi ya 200 wamemwagwa nchi mbalimbali duniani. Piga hesabu hapo sh 500,000,000 x maharamia 200 x miezi mitatu sasa
https://t.co/APWa8zR91f
@Eric__Bernard Eric embu shaurini hao maboss zenu to do the right thing, mbona amani mnaiharibu wenyewe. Nepotism, matumizi ya rasilimali hovyo kununua magari ya kifahari, kutokufuata kanuni za utawala wa sheria, uonevu wa kidemokrasia, haya yote hamyaoni mnataka kuleta ajenda ya watu kulipwa?
@chapo255 Chapo. Hakuna ubaya kuwa na wasanii wengi wanafanya vizuri zaidi. Mkaushieni dogo maana suala la talent yake sio la kuuliza tena na kama umewahi kuwa mazingira ya studio utaelewa kilichofanyika hapo sio kuandikiwa