Wapwa binafsi naona kuna wanaume wanatuaibisha, kwenye hii challenge ya tiriri tiriri tiriri tiriri, ni wakati sasa wanaume kusikiliza zaidi Hip-hop kuregain realistic.
Najiona sina akili nikikumbuka kuwa nilichangia debate ya "education is better than fishing" maana namuona mvuvi muokoa watu kwenye ndege anazid kutoboa tu