Watajali kitu gani tena kama waliingia Bungeni bila ridhaa ya wananchi ? Wewe imagine una Mbunge yuko Bungeni halafu hajui alipata kura ngapi ? Sasa itakuwa kwenda Morroco bila kibali ? Stori gani za aibu hizi mnaleta ?
Nani mwenye hekima amnyang'anye Kalamu Naibu msajili wa vyama vya Siasa?
Mimi siyo Muumini wa dhihaka na Matusi. Lakini hata kwa akili za kuvukia barabara tuu huwezi kunishawishi kwamba Kauli hii ni dhihaka.
Na wala siyo ya kashfa ,Tusi na haijavunja Sheria wala Maadili yeyote mbele ya watu wenye akili timamu.
Nimeshauri na ninarejea kushauri ile ofisi imeacha kazi zake za Msimgi na wamejitwika jukumu la udhibiti maoni.Nashauri tena kwa maslahi mapana ya Taifa ifutwe haraka.
BAK Mwabukusi.
Mkutano Wa Chadema Operesheni #KatibaMpya #😉FreeTunduLissu, Dodoma Mjini Leo 24 Mei 2026
Ahsanteni Dodoma, Mulungu Yalumbwe, Sejere Sejere yo mijendele👏🏽🙏🏽
Asanteni sana wananchi wa Dodoma. Hakika hamjatuangusha, nasi hatutawaangusha. Mmetupokea kwa mapenzi makubwa sana, jambo linalodhihirisha kuwa mna kiu ya mabadiliko ya kweli, Haki, Katiba Mpya, pamoja na kumuona Mwenyekiti wetu akitolewa gerezani bila Masharti yoyote.
Tuendelee kuchangia kwa ajili ya harakati hizi kupitia TONETONE:
Namba: 0744 446969
Jina: CHADEMA HQ
Mwenyezi Mungu awabariki sana.
ASANTENI SANA DODOMA.
Anenalo mtu ndio limjazalo moyo.
Huyu mama ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm, wanakaa vikao na Samia kwenye kamati kuu yao. Anachokisema huyu mama kuhusu kupoteza, kuua na kudhuru wakosoaji wao… Ndio msimamo wa ccm.
Nafikiri msajili hajaona.
Kwa hapa tulipofika kuna mambo madogodogo hayawezi kunisumbua au kunitoa kwenye focus! Na sote tusimame imara! Lissu ana hii LASER FOCUS that is why we need him out!
Ushindi umekaribia na huu ndo muda wa kuweka focus!
It’s simple
#FreeTunduLissu#SamiaMustGo#CCMmustgo
#KatibaMpya
In this order!
KESI DHIDI YA CHADEMA, MAHAKAMA KUU KUTOA UAMUZI (RULING) KESHO TAREHE 20/05/2026:
Kesho, Mahakama kuu, Masijala ya Dar es salaam inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo dhidi ya pingamizi la mawakili wa Chama kwenye kesi ya Madai ya Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa Chama.
Itakumbukwa kwamba, Mahakama kuu baada ya kusikiliza pingamizi hilo, Iliana kutoa uamuzi kesho kuanzia saa sita mchana.
Endapo Mahakama kuu itaona pingamizi hili lina mashiko basi kesi hiyo itakuwa imeshia hapo, na kama ikitupilia mbali pingamizi basi shauri hilo litaendelea.
Wananchi mnaopenda haki na marafiki wa Demokrasia tukutane Mahakama kuu.
KESI YA JINAI DHIDI YA MWANACHAMA WA CHADEMA LUCY SHAYO KUENDELEA KESHO MOROGORO:
Morogoro nako, kesi ya Jinai namba 22666/2025, inayomkabili Lucy simon Shayo itaendelea kwa upande wa Jamhuri kuleta shahidi wao wa pili.
Nawaomba marafiki wa haki pia kufika mahakama ya wilaya ya Morogoro kusikiliza mashahidi wa Jamhuri na maswali ya Dodoso.
A-Town nimerudi home 😎🔥
Nimetua ARUSHA leo kutokea KAHAMA, nimekutana fresh na Mkti wa Kanda pamoja na viongozi wengine pale Relini.
Tarehe 22/05/2026 Mkutano hapa A Town , yaani Makaksi wote tupo yaani😂
Kahama, Katoro na Geita wasijipe hopes sana 😅… safari hii A-Town tunataka ku-set standard nyingine kabisa.
Tutawaonyesha difference ya “mlima na kichuguu” politely tu 😂🔥
"Ukiwaambia GEN-Z kwamba tutawapa #KatibaMpya 2030 maana yake unawaambia GEN-Z kwamba endeleeni kutekwa mpaka 2030, hatuwezi kukubali." Mhe. Deogratias Mahinyika, Mwenyekiti Bavicha Taifa
KAHAMA – Shinyanga. Makamu Mwenyekiti CHADEMA @HecheJohn. Homeboy is cooking. Watu ni wengi kama mchanga. Massive, overflowing crowd. This is a clear demonstration of political might—unmatched and irreplaceable. IGA UFE, JARIBU UFILISIKE. 🔥#katibampya#freetundulissu