Today is Tundu Lissu day!
#TunduLissuDay
Since 2017 when he was shot, every Sept 7 we mark this day and celebrate the courage of Tundu Antipas Lissu - an absolute living legend!
Shot 32 times, hit by 16 bullets, Lissu not only recovered but as soon as he was back on his feet, he came back to continue where he left off!
Today Lissu is facing trumped up charges of treason in a maximum prison for over one year and receives constant death threats even in prison - explicitly under the orders of Samia Suluhu
Tundu Lissu is the most consequential politician and activist of our time and all the jealousy, hatred and fear that CCM and some “opposition” members have toward him will not change this! He is loved by millions and regarded widely as the President of the People!
The whole world needs to ensure that Lissu is freed and Samia the illegitimate president is gone!
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Happy Easter to you viongozi imara msioyumba @TunduALissu@HecheJohn
Siku mlipochaguliwa kuwa viongozi wakuu wa @ChademaTZ2 mlibadili historia ya nchi
Mmeweka alama kubwa na Mungu awabariki na familia zenu muendelee kusimama imara
Pasaka Njema!
Idol, sina shaka kuhusu ustahimilivu wako. Na wiki hii wanakuongezea msalaba mwingine. Ombi langu kwa Mungu wetu ni akupe saburi. Usizimie roho maana asubuhi yaja. Songa mbele uuone ukuu wake. Na mambo atakayokutendea, wewe na Taifa lake. Solidarity. Kutoka 14:14🙏🏽
TANZANIA ni Nchi Pekee Duniani, Wateja wakiwa wengi Kampuni/Taasisis za Biashara zinakufa. Duniani kote wateja wakiongezeka huwa ni baraka kwa Kampuni na ukuaji wa Biashara
#CRDB/NMB/NBC wateja wakiwa wengi network inakuwa down.
#Vodacom/Yas/Airtel/Halotel wateja wakiwa wengi ukipiga simu hazitoki.
#DAWASA wateja wakiongezeka maji hayatoki
#TANESCO wateja wakiwa wengi umeme unakuwa wa mgao.
#Mwendokasi Inakufa kwa Sababu Abiria ni wengi
#SGR inademadema kwa sababu wateja ni wengi
#Sababu: Watu/Wateja/Abiria wamekuwa wengi.
George Mahigu Seni, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (Director of Finance and Administration) NIDA, alikamatwa na Polisi tarehe 15 Desemba 2025 akiwa Arusha kikazi, na kusafirishwa Dodoma kwa mahojiano. Baada ya tukio hili, kuhojiwa sasa ameambiwa na mkuu wake wa kazi asiende kazini bila hata kupewa barua yoyote rasmi. Sababu, alichapisha maneno yafuatayo kwenye WhatsApp group ya marafiki SHYCOM.
Maneno ya George Mahigu:
1.Siasa ndiyo kila kitu Mtani. Kinacho sababisha yote haya hata kama hatutaki ni ukosefu wa Siasa Bora, Uongozi Bora na Demokrasia thabiti. Huko kwingine kote maji kwenye kinu.
2.Kwamba ni sawa mwanamke aliyeogopa anapigwa risasi mgongoni?
Kwamba ni sawa kijana asiyekuwa na chochote mkononi kupigwa risasi?
Kwamba ni sawa kufanya mauaji ya halaiki kinyama namna ile?
Kwamba ni sawa kuwatoa vijana ndani wakiangalia mpira na kuwalaza chini na kuwapiga mmoja baada ya mwingine?
Siungi mkono watu kuharibu mali za umma na za binafsi na hata kufanya fujo tu.
Lakini kwa picha ambazo zilionekana siku ya tarehe 30 kabla hata hii ya CNN si sawa nguvu iliyotumika.”
3.Kaka!!!
Mtan usilete siasa ktk issue serious… mnakuwaje na shida ya maji km mna mto, Rufiji, Ruvuma,Kagera,Ruvua,Rukwa. Ziwe Victoria,Tanganyika,nyasa,eyas,nk..mna mvua ya wastan kwa mwaka, baadhi ya maeneo maji yapo chini…justify hapo mtan?? 😭😭😭”
Leo ndani ya Bunge la wananchi (mkutano wa GEN.Z) kwanza itapigwa TUPO busy ya @naytrueboytz ALAFU @roma_zimbabwe nae atakuwepo kutwambia kwanini hawakutelemsha BUNDUKI.
LIVE TIKTOK KUANZIA SAA 3:00 USIKU WEWE NIFOLLOW MIMI TU HUKO UTAONA.
BONYEZA REPOST KUSHARE TANGAZO HILI.
KUSAMEHE NA KUSAHAU NI WAZO LA KIJINGA.
Ushauri wa Kusamehe na Kusonga Mbele bika kujua waliko wapendwa wetu au hatma yao ni wazo la kijinga linalostahili Kupuuzwa.
Hata Maandiko Matakatifu yanatupa mfano wa Mchungaji mwema.Kuacha kondoo wote na kutafuta kondoo mmoja aliyepotea.
Mnatukosea sana wale ambao tumegiswa moja kwa moja au kwanjia isiyo ya moja kwamoja na Madhila ya Utekaji au Nauwaji na upotezwaji wa makusudi wa miili ya walio uwawa kinyume cha sheria.
Muteke,mufiche ,muuwe na kuficha maiti halafu simple like that unasema tusamehe ya ishe?!
UKWELI,HAKI NA KUWAJIBIKA KUTALIPONYA TAIFA.
Vita ya Samia na Nchimbi ni balaa. This is beyond ushirika wa wachawi haudumu. Kuna tukio zito on the way! Na jana #Jasusi ameadhimisha birthday yake akipuliza ubani kutwa nzima ili mtafaruku huo uwe mkubwa zaidi ya ule wa Jk vs JPM japo unfortunately the bad guy won 😡
‼️🚨 FORTUNATUS BUYOBE HAS TO BE RELEASED‼️
The police in #Tanzania are professionsl abductors 🙄
If @fbuyobe was arrested he has right to a lawyer and ww need to know where he is @tanpol
Mnatrend dunia nzima kwa upumbavu wenu huu! Na bado! Mkome na huu uhuni wenu! Mwachieni Buyobe!
#FreeFortunatusBuyobe
TUSAIDIANE KUKAMILISHA HII BARUA YA PAMOJA KWA WALALAHOI WA TANZANIA, TUTAITUMA KESHO.
Kichwa: TUPO HURU?🤔🤔
Wapendwa WALALAHOI wa Tanzania,
Wakati watawala wa wakielekeza wananchi “kusherekea sherehe za UHURU majumbani,” ni muhimu tukatumia wasaa huu kujiuliza baadhi ya maswali ya msingi kuhusuiana na hiki kinachoitwa UHURU.
Je, TUPO HURU?
Nchi ambayo sehemu kubwa ya watu wake wanakufa kwa magonjwa ya umaskini kama Malaria, HIV, na TB, uhuru unaosherekewa ni upi?🤔🤔
Kwenye nchi ambayo kijana mwenye degree ana uhakika wa kuishi maisha ya kimaskini kuliko wazazi wake ambao hawajaenda shule kabisa, uhuru unaosherekewa ni upi?🤔🤔
Kwenye nchi ambayo mpaka leo zaidi ya asilimia 90% ya labor force yake ipo kwenye sekta zisizo rasmi bila kipato cha uhakika huku mamilioni ya vijana wakizagaa mtaani bila ajira, achilia mbali kuwa na abundance ya ardhi yenye rutuba, madini ya kila aina, na maliasili kibao, uhuru unaosherekewa ni upi?🤔🤔
Kwenye nchi ambayo mpaka leo inategemea msaada wa mashirika ya kimataifa na nchi wahisani ili iweze kuchimba choo cha shule, uhuru unaosherekewa ni upi?🤔🤔
Kwenye nchi ambayo mpaka leo inashindwa kuchakata hata pamba inayozalisha yenyewe na badala yake inategemea kuuza pamba na mazao mengine ghafi kwa bei ya kutupwa kisha kugeuzwa dampo la mitumba kutoka kwenye nchi zilizoendelea, inasherekea uhuru gani?🤔🤔
Endeleza⬇️⬇️⬇️
#FreeFortunatusBuyobe
Popular writer and blogger Fortunatus was taken by people claiming to be from Temeke police and his whereabouts are unknown
He survived an attempted abduction days ago!
@SuluhuSamia continues with her reign of terror against critics
We demand the release of Fortunatus
Cc @WGEID @OHCHR_EARO @UNHumanRights@AmnestyEARO@hrw
Huu upumbavu wa kuteka UKOME na mwachieni Fortu mara moja @tanpol
#FreeFortunatusBuyobe
BBC wanaendelea kupiga panapouma.
Hii media imesaidia kwa nafasi kubwa sana kuionyesha dunia yaliyofanyika GIZANI. Na sasa inaendelea kusema yote ambayo Media za Bongo hazisemi.
Ninachokijua mimi BBC hawajamaliza kwenye hili, mnakumbuka 2024 Kenya yalipotokea maandamano makubwa ya wananchi kuingia BUNGENI?
BBC walifanya Documentary moja kama movie ambayo Ilitoa serikali ya Kenya PANGONI, documentary ile inaitwa "Blood Parliament" kaitafute.
Hata kwetu bongo kwa yaliyofanyika naamini Bado kuna kitu hawa jamaa watafanya zaidi. Asanteni Kwa kuendelea kusimama na watanzania na kuimbia dunia uhalisia wa yanayoendelea nchini.
WALIJUA UOVU WA GIZANI UTABAKI GIZANI-WAKAJUA TUPO ZAMA ZA MAWE.
TUTAKUWEPO🫵😎
GUYS [in Mwigulu's voice 😂] kesho ni birthday ya Tanganyika. Na kesho hiyohiyo ni birthday ya #Jasusi.
Most of you GUYS mmekuwa wema sana kwenye kila birthday ya Jasusi. Huwa mnamfanya ajisikie fahari kubwa #mtumishiwenu. Asanteni sana
Ila birthday ya kesho ni tofauti. Ni siku ya kupigania uhuru mpya wa Tanganyika. Therefore, chochote ulichoandaa kwa ajili ya Jasusi hapo kesho, kielekeze kwa Tanganyika yetu.
Pia ni siku ya kuwaenzi maelfu ya wenzetu waliochinjwa na Samia na mwanae Abduli.
GUYS! GUYS! GUYS! Kesho ndio kesho!
Happy birthday Tanganyika in advance!
https://t.co/BL3CeRVCJg