Top Tweets for #AFKBoxingLeague
VITASA PLUS: Ulingo umefunguliwa na watoto hawa ambao walikuwa wanajifurahisha japo wameonesha burudani nzuri
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021 #AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague #NusuFainali

VITASA PLUS: Majaji wapo tayari na muda wowote kuanzia sasa shughuli itaanza hapa Black Panther.
Tutakuwa LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Moto karibu utaanza kuwaka hapa #BlackPanther Oysterbay Masaki
Tutakuwa LIVE #AzamSports2HD kuanzia saa 1:00 usiku
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Kabla ya shughuli kuanza, vijana wa kazi wanapata darasa kidogo ili kuboresha zaidi maudhui
Shughuli itaanza saa 1:00 usiku
Tutakua LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Mitambo inawekwa sawa ili kukuletea uhondo kutoka hapa Black Panther
Ni Vitasa Plus na usikose kutazama kupitia #AzamSports2HD kuanzia saa 1:00 usiku
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITAS PLUSA: Muda sio mwingi vumbi litaanza kutimka ulingoni wakati wapambanaji wakitafuta ushindi
Tutakuwa LIVE #AzamSports2HD kuanzia saa 1:00 usiku.
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Wataalamu wa kazi wakiweka sawa zana zao ili kukuletea ubora unaostahili.
Kuanzia saa 1:00 usiku uhondo utakufikia sebuleni kwako.
Tutakuwa LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Isack Mwanjila amechaguliwa na majaji kuwa #KingOfTheRing usiku wa leo kutokana na umahiri aliouonesha ndani ya ulingo.
Wewe umemwona nani?
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Sunday Isambi amemtwanga Ibrahim Windambe kwa pointi kwenye pambano la sita leo
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Sunday Isambi anatufungia usiku wa leo kwa kupambana na Ibrahim Windambe
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Hapa sio China wala sio Japan, ni ardhi ya Tanzania mitaa ya Oysterbay hapa Black Panther kwenye #VitasaPlus na huyu ni mwanadamu
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Huyo ni mwanadamu na hayo yamefanyika hapa Black Panther kwenye #VitasaPlus
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Ni zamu ya Obote Samson dhidi ya Juma Malenda kwenye pambano la pili
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Mtangazaji wa ulingo Wasiwasi Mwabulambo tayari yupo ulingoni kuiamsha shughuli ya leo
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Ni Alhamisi nyingine tunakutana hapa Black Panther kushuhudia #KickBoxing na #RoundKick ndani ya ulingo huu.
Tutakuwa LIVE #AzamSports2HD kuanzia saa 1:00 usiku
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Isack Ibrahim amemkalisha Sadam Ally kwa TKO kwenye pambano la tisa usiku huu
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Ramadhan Mshana ameileta KO kwa kumkaanga Hassan Haruna kwenye pambano la nane usiku huu
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Ni Shabani Katipwai amemkalisha Joshua Mleli kwa TKO kwenye pambano la saba usiku huu
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Ramadhan Mshana yupo ulingoni akimenyana na Hassan Haruna kwenye pambano la nane
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Ni zamu ya Shabani Katipwai dhidi ya Joshua Mleli kwenye pambano la saba usiku huu
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers