Top Tweets for #VitasaPlus
WABABE WA KITAA | Jumapili hii kwenye #VitasaPlus #WababeWaKitaa #WWK
Ni saa 2:00 usiku #AzamSports3HD
Unakosaje kwa mfano.....
Vitasa Plus imerejea kivingine na sasa ni Wababe wa Kitaa (WWK), kila Jumapili saa 2:00 usiku, #AzamSports3HD
#WababeWaKitaa #WWK #VitasaPlus #Vitasa #MCJojo
VITASA PLUS: Ule msimu mpya wa #WababeWaKitaa umewadia….
Ni #VitasaPlus season2 ambapo wababe wa kitaa 48 kutoka wilaya tano za Dar es Salaam, wataonesha ‘maufundi’ yao ya kurusha ngumi na mateke.
Uhondo huu utaupata kila Jumapili saa 2:00 usiku na vumbi linaanza kutimka kesho kupitia #AzamSports3HD
#VitasaPlus #WababeWaKitaa
VITASA PLUS: Ulingo umefunguliwa na watoto hawa ambao walikuwa wanajifurahisha japo wameonesha burudani nzuri
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021 #AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague #NusuFainali

#VitasaPlusFainali | Edwin Mwanjisi anayekwenda kuvaana na Mauli Maulid kwenye fainali ya #VitasaPlus anasema moto utawaka.
Ni Disemba 23, 2021 na itakuwa Mbashara #AzamSports1HD kuanzia saa 1.00 usiku
#KickBoxingFinals #KingOfTheRing #MfalmeWaKickBoxing #AfricaFightKing
#VitasaPlusFainali | Tambo za Rahim Mussa, “Niwahakikishie nakwenda kuwa bingwa.”
Ni Disemba 23, 2021 na itakuwa Mbashara #AzamSports1HD kuanzia saa 1.00 usiku
#KickBoxingFinals #KingOfTheRing #MfalmeWaKickBoxing #AfricaFightKing #AzamSports1HD #KickBoxing #VitasaPlus
#VitasaPlusFainali | Gerald Mrisho anasema hatawaangusha mashabiki wake kwenye usiku wa fainali za #VitasaPlus
Ni Disemba 23, 2021 na itakuwa Mbashara #AzamSports1HD kuanzia saa 1.00 usiku
#KickBoxingFinals #KingOfTheRing #MfalmeWaKickBoxing #AfricaFightKing #AzamSports1HD
#VitasaPlusFainali | Maulid Maulid akielezea fainali yake itakavyokuwa ya ngumi nyingi…
Ni Disemba 23, 2021 na itakuwa Mbashara #AzamSports1HD kuanzia saa 1.00 usiku
#KickBoxingFinals #KingOfTheRing #MfalmeWaKickBoxing #AfricaFightKing #AzamSports1HD #KickBoxing #VitasaPlus
Isack Ibrahim aliyefika fainali za #KickBoxing #VitasaPlus na tambo zake kuelekea Disemba 23, 2021.
#KickBoxingFinals #KingOfTheRing #MfalmeWaKickBoxing #AfricaFightKing #AzamSports1HD
VITASA PLUS: Majaji wapo tayari na muda wowote kuanzia sasa shughuli itaanza hapa Black Panther.
Tutakuwa LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Ni zamu ya Mshamu Mohamed dhidi ya Ibrahim Masudy. Bado tupo kwenye mapambano ya utangulizi
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus

VITASA PLUS: Moto karibu utaanza kuwaka hapa #BlackPanther Oysterbay Masaki
Tutakuwa LIVE #AzamSports2HD kuanzia saa 1:00 usiku
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

USIKU wa wababe wa #KickBoxing #Tanzania unaendelea leo, usipitwe na #VitasaPlus leo kuanzia saa 1.00 Usiku ndani ya #AzamSports1HD
#AfricaFightKing #RoundKicks #AzamTV #AzamSports2HD
VITASA PLUS: Pambano la kwanza kabisa la robo fainali ndilo liko kwa hewa muda huu. Ni kati ya Adam Hamidu dhidi ya Kaene Kibwana.
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VitasaPlus #Kickboxing #AFKKickboxingLeague #AfricanFightingKings #AFK #Ngumi #Boxing #Vitasa #Mateke

VITASA PLUS: Balaa limeanza pale Black Panther, Oysterbay kwenye ileligi yetu ya kickboxing. na hili ni pambano la kwanza kwa leo.
Tuko LIVE #AzamSports2HD
#VitasaPlus #Kickboxing #AFKKickboxingLeague #AfricanFightingKings #AFK #Ngumi #Boxing #Vitasa
VITASA PLUS: Kabla ya shughuli kuanza, vijana wa kazi wanapata darasa kidogo ili kuboresha zaidi maudhui
Shughuli itaanza saa 1:00 usiku
Tutakua LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITASA PLUS: Mitambo inawekwa sawa ili kukuletea uhondo kutoka hapa Black Panther
Ni Vitasa Plus na usikose kutazama kupitia #AzamSports2HD kuanzia saa 1:00 usiku
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITAS PLUSA: Muda sio mwingi vumbi litaanza kutimka ulingoni wakati wapambanaji wakitafuta ushindi
Tutakuwa LIVE #AzamSports2HD kuanzia saa 1:00 usiku.
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

VITAS PLUS: Ni Alhamisi nyingine ya kushuhudia vifuti, vitasa, mateke na round kick.
Chombo ya kazi imeshafika hapa Black Panther kukuletea uhondo.
Tutakuwa LIVE #AzamSports2HD kuanzia saa 1:00 usiku.
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus

VITASA PLUS: Wataalamu wa kazi wakiweka sawa zana zao ili kukuletea ubora unaostahili.
Kuanzia saa 1:00 usiku uhondo utakufikia sebuleni kwako.
Tutakuwa LIVE #AzamSports2HD
#VifutiRoundKick #KickBoxingLeague2021
#AfricanFightingKing #VitasaPlus #AFKBoxingLeague

Last Seen Hashtags on Sotwe
mardintraveſti
Seen from Turkey
minichat((((((((**********)))))))) +filter:native_video
Seen from Turkey
ตลาดไท
Seen from Thailand
anxiouspanda(())
Seen from Japan
anxiouspanda()()()()****video
Seen from Ireland
localpashto
Seen from Switzerland
สาวรุ่นแม่
Seen from Thailand
beylikduzutravesti
Seen from Austria
anxiouspanda
Seen from Netherlands
snapchat minichat(**)+filter:native_video
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers










