Top Tweets for #AMKAPodcast
"Watanzania wengi wanategemea kilimo lakini viwanda vingi vinavyoanzishwa havifungamani na sekta hiyo. Kwa hivyo havina manufaa makubwa na wananchi."
Katibu Mkuu Kiongozi @ACTBarazaKivuli
@idrisa_kweweta
#AmkaPodcast

"Vijana wa vyuo vikuu wanakimbia mijadala ya kisiasa. Mazingira sio rafiki. Wameshuhudia mhadhiri akipewa kesi ya ugaidi kisa tu mafunzo anayotoa darasani. Siasa imegeuzwa jinai. Hofu nyingi, kuliko matumaini."
Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara
@MchinjitaIR
#AmkaPodcast
"Mwaka 2025 mauaji makubwa yamefanywa nchini. Kuna watu ndugu zao waliko. Wengine wanasema kuna maiti zimepelekwa viwandani kuchomwa moto. Yote haya yanahitaji Tume Huru ya Uchunguzi."
Makamu Mwenyekiti Bara wa @ACTwazalendo
@MchinjitaIR
#AmkaPodcast
@Amkapodcast
"Mwaka 2025 mauaji makubwa yamefanywa nchini. Kuna watu ndugu zao waliko. Wengine wanasema kuna maiti zimepelekwa viwandani kuchomwa moto. Yote haya yanahitaji Tume Huru ya Uchunguzi."
Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo

"Dereva akipata ajali hapati msaada wa manufaa kutoka kwa tajiri wake. Madereva hatuna bima ya afya. Mshahara tunapewa mkononi au kwenye simu. Haupitii benki, kwa hivyo tunakosa sifa ya kukopesheka."
Majula Kafumu
Mwenyekiti wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania
#AmkaPodcast
"Serikali inasema kuwa inatoa mikopo ya asilimia kwa wanawake na vijana, lakini haiwafikii. Kuna mchakato mrefu unaohitaji gharama ya fedha, hata hivyo mwishowe vikundi vinavyopata vichache mno."
Katibu wa Ushirika Wanawake Wavuja Jasho
Faria Shomari
#AmkaPodcast| Episode 13
"Ni kumwangusha machinga endapo ukimwondoa maeneo ya katikati ya mji, hifadhi ya barabara na kwenye maeneo ya karibu na huduma za kijamii."
Katibu Mkuu Kiongozi wa @ACTBarazaKivuli
@idrisa_kweweta
AMKA. HOJI. KOMBOA
#AMKAPodcast.
Unadhani nini kinachosababisha upungufu mkubwa wa maji safi na salama nchini?
#AmkaPodcast
Waziri Kivuli wa Maji wa @ACTwazalendo, @CornelySinta
Kwenye darasa la wiki lilopita tulitazama na kujadili filamu ya makala ya "Decolonize Law! Part 3: Fighting for Transformation.
Tumeona jinsi unyonyaji wanyonge ulivyohalalishwa kisheria kipindi cha ukoloni na ukaendelea kubaki hata baada ya uhuru.
#DarasaLaWiki
#AmkaPodcast
"Huduma ya maji inatakiwa Serikali itoe na si mtu binafsi. Kila raia ana haki ya kupata maji haijalishi ana kipato gani."
Waziri Kivuli wa Maji wa ACT Wazalendo
@CornelyYasinta
#AmkaPodcast
#Ep09
"Huduma ya maji inatakiwa Serikali itoe na si mtu binafsi. Kila raia ana haki ya kupata maji haijalishi ana kipato gani."
Waziri Kivuli wa Maji wa ACT Wazalendo
@CornelyYasinta
#AmkaPodcast
#Ep09
"Badala ya miaka saba ya shule ya msingi, sasa wameweka miaka sita. Je! Kwa kuweka miaka sita walimu wameongozeka? Je! Miundombinu imeboreshwa? Wamejibu changamoto?"
Waziri Kivuli wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa @ACTwazalendo
@rizikishahari
@Amkapodcast Ep 07
#AmkaPodcast
"Serikali inajenga matabaka. Pale Shule ya Msingi Mzimuni, sasa pana kuna ya Kiingereza na Kiswahili. Wa Kiingereza mazingira yao bora na wanalipa laki 4 kwa mwaka."
Waziri Kivuli wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa @ACTwazalendo
@rizikishahari
Amka Podcast Ep 07

"Mwalimu na mwanafunzi lazima watumie lugha wanayoifahamu. Kwa sababu unapofikiri, lazima ufikiri kwa lugha yako."
Waziri Kivuli wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa @ACTwazalendo
@rizikishahari
Amka Podcast Ep 07
#AmkaPodcast
Last Seen Hashtags on Sotwe
snapchat(((()))) +filter:videos
Seen from United States
ηΆε
Seen from Singapore
Ometv
Seen from United States
gaymedan
Seen from France
ΰΈΰΈ£ΰΈ°ΰΈ‘ΰΈ«ΰΈ²
Seen from Thailand
incesto con hermano
Seen from Canada
buyingnudes
taboodaughter()***
Seen from Turkey
ΰΈΰΈ²ΰΈΰΈΰΉΰΈ²ΰΈ
Seen from Singapore
ngintip
Seen from Singapore
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers