Top Tweets for #ASFCCup
FAINALI ASFC: Msikie Peter Otai alivyolisherehesha goli la Kennedy Musonda kwa lugha ya Kiingereza kwenye mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya Azam FC.
FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga
FAINALI ASFC: Ibrahim Bacca na Clement Mzize waonesha ufundi wao wa kucheza baikoko ndani ya dimba la Mkwakwani Tanga.
Nani katisha zaidi?
FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga
FAINALI ASFC: “Benchi letu lina wataalamu tofauti” maneno ya Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji akilisifu benchi lao la ufundi na kubainisha mipango yao kuelekea msimu ujao.
FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga
FAINALI ASFC: “Lakini pia tumpongeze Rais wa Young Africans kijana” sehemu ya maneno ya Rais wa Yanga SC, Hersi Said akizungumza baada ya leo kutwaa taji la Azam Sports Federation Cup
FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga
#ASFC Kombe hili ni mali halali ya Wananchi....
FT: Azam 0-1 Yanga.
#AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC #AzamYanga #Dodi @yangasc1935

FAINALI ASFC: Bernard Morrison akaiteka ‘show’ ya shangwe la ubingwa ndani ya Mkwakwani Tanga
FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga
FAINALI ASFC: Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amshuku Rais Samia Suluhu Hassan akisema shukrani hiyo ni kutoka moyoni mwake.
FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga
#ASFC Picha na Kombe...
FT: Azam 0-1 Yanga.
#AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC #AzamYanga #Dodi @yangasc1935

#ASFC Picha na Kombe...
FT: Azam 0-1 Yanga.
#AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC #AzamYanga #Dodi

FAINALI ASFC: Huyu hapa Fiston Mayele naye akishiriki kwenye shangwe la ubingwa kupitia “Video Call” akiwasiliana na Djuma Shaban kutokea Cameroon
FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga
FAINALI ASFC: Hili hapa shangwe la ubingwa baada ya Wananchi kukabidhiwa ‘mwali’ wao ndani ya dimba la Mkwakwani Tanga
FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga
MABINGWA...!!! Na hawa ndiyo Yanga... Mabingwa wa Azam Sports Federation Cup 2022/23.
FT: Azam 0-1 Yanga.
#AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC #AzamYanga #Dodi

MABINGWA...!!! Na hatimaye mali ikafika kwa nahodha wa vikombe...
FT: Azam 0-1 Yanga.
#AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC #AzamYanga #Dodi

FAINALI ASFC: Neno la Nahodha wa Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto baada ya kushinda taji la Azam Sports Federation Cup kwa mara ya pili mfululizo.
FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga
FAINALI ASFC: Neno la makocha wa timu zote mbili (Kali Ongala wa Azam FC na Cedric Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga) wakizungumza baada ya mechi.
FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga
Uongozi na wafanyakazi wa UFM redio unawapongeza wachezaji, benchi la ufundi, viongozi na mashabiki wa Yanga SC kwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports #ASFC 2022/2023.
#UFMUpdates #ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023

#ASFCFinal Kwa mtazamo wako, ni nani anastahili kuwa nyota wa fainali hii??
FT: Azam 0-1 Yanga.
#AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC #AzamYanga #Dodi @yangasc1935 @azamfc @Tanfootball

#ASFCFinal Yanga SC wanafanikiwa kutetea taji lao la Kombe la Shirikisho la Azam Sports hapa katika uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga.
FT’: Azam 0-1 Yanga
Tupo #LIVE kwenye YouTube channel ya UFMRADIOTZ na 107.3 UFM Radio.
#UFMUpdates #ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #Tanga2023

FAINALI ASFC: Yanga ni mabingwa wa Azam Sports Federation Cup kwa mara ya pili mfululiuzo
FT: Azam 0-1 Yanga
Musonda 14’
Tuko LIVE #AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC#AzamVsYanga

#BreakingNews Wamechukua tena bhana..!!! Yanga SC yatwaa kombe la Azam Sports Federation kwa msimu wa pili mfululozo.
FT: Azam 0-1 Yanga.
Nena na Wananchi sasa....!!!
#AzamSports1HD
#ASFC #ASFCCup #ASFCFinal #MitoNiMaishaYetu #10DaimaDamdam #Tanga2023 #WajeWajirambe #ASFCTanga #YangaSC #AzamFC #AzamYanga #Dodi @yangasc1935 @Tanfootball

Last Seen Hashtags on Sotwe
เงี่ยน
Seen from Thailand
DonJHH
Seen from United States
alanyagay
Seen from Turkey
COLONCANCERSCREENING
Seen from United States
momson filter:videos
Seen from Japan
batebros
Seen from Mexico
momson() +filter:native_video
Seen from Canada
เมียเงี่ยน
Seen from Thailand
ちくごアートファーム計画実行委員会
Seen from United States
sanfrancisco
Seen from Germany
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.6M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.3M followers

X 
@x
60.8M followers