Top Tweets for #AhadiYetu
Muda huu tunamaliza Awamu hii ya Mikutano ya Hadhara kisiwani #Pemba hapa #ChakeChake katika Viwanja vya Gombani tukitoa #dozi ili kusimamia uwajibikaji na wakati huo huo tukiendelea kuwaeleza Wazanzibari #AhadiYetu kuelekea 2025.
#ZanzibarMpya
#ZanzibarMoja
#MamlakaKamili

Tunafanya kazi mbili kwa wakati mmoja. Kwanza ni kuiwajibisha Serikali kutokana na ufisadi uliokithiri; na Pili ni kuwafikishia Wazanzibari #AhadiYetu kuelekea 2025. Leo tuko #Tumbe, Wilaya ya Micheweni, kisiwani #Pemba.
#ZanzibarMpya
#ZanzibarMoja
#MamlakaKamili

#Othman: Viongozi tuonyeshe njia kwa wananchi, tusilalamike
Makamu Mwenyekiti wa #ACTWazalendo Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman anafafanua masuala mbali mbali ya siasa na #AhadiYetu kwa Wazanzibari katika mahojiano na @MwananchiNews
#ZanzibarMpya
#ZanzibarMoja
#MamlakaKamili

#ACTWazalendo tunaendelea na ziara ya kuitambulisha #AhadiYetu kwa Watanzania; yaani Brand Promise. Leo ni zamu ya #Busega, mkoani #Simiyu.
#TaifaLaWote
#MaslahiYaWote

Mzee Azaveli Lwaitama aliungana nasi Leo hapa Bukoba katika Mkutano wetu wa Hadhara wa kutambulisha #AhadiYetu kwa Watanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote na amepata nafasi ya kutoa salaam zake. Tumefurahi sana kwa hekima zake na Upendo wake kwa harakati za mageuzi hapa nchini


Tayari kwa kazi, Awamu ya Pili ya Ziara ya kutambulisha #AhadiYetu kwa Watanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote katika mikoa 11 ya Jamhuri ya Muungano upande wa #Tanganyika. Tunaanza #Songea kesho jioni. Kazi kama hiyo imeanza #Zanzibar.
Tayari kwa kazi, Awamu ya Pili ya Ziara ya kutambulisha #AhadiYetu kwa Watanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote katika mikoa 11 ya Jamhuri ya Muungano upande wa Tanganyika. Tunaanza Songea kesho Jioni
Songea Mjini, Awamu ya Pili ya Ziara ya kutambulisha #AhadiYetu kwa Watanzania #TaifalaWote #MaslahiYaWote

Tunajua kama CHADEMA adui yenu ni ACT WAZALENDO na sio shida yetu sisi hatufanyi Kwa sababu ninyi mnataka tufanye we are focused na #AhadiYetu Kwa watanzania tukimaliza kutambulisha brand promise yetu Utaona hatua itakayofuata we are clear tunajenga #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Oya @juliusmassabo @Ndolezi_Petro nyie si mnataka ubunge Kigoma!?. Hebu jipimeni kufanya mikutano namna hii nyinyi kama nyinyi bila kutegemea mikutano ya dalali Zitto. Halafu tuone kama mnafit kuwa wabunge au wenye viti wa mitaa!.
Orodha ya Masuala 10 ya Wananchi Yaliyoibuka katika Awamu ya Kwanza ya Ziara ya Kutambulisha #AhadiYetu (Brand Promise) ya Chama kwa Watanzania:
10. Haki za Raia kwa Wananchi wa Kigoma.
Dorothy Jonas Semu
Waziri Mkuu Kivuli
ACT Wazalendo
26 Machi, 2023.
#TaifaLaWote
#MaslahiY

Orodha ya Masuala 10 ya Wananchi Yaliyoibuka katika Awamu ya Kwanza ya Ziara ya Kutambulisha #AhadiYetu (Brand Promise) ya Chama kwa Watanzania:
6. Zao la Korosho mikoa ya Kusini mwa nchi
7. Migogoro ya Ardhi
8. Usalama wa Wananchi

Orodha ya Masuala 10 ya Wananchi Yaliyoibuka katika Awamu ya Kwanza ya Ziara ya Kutambulisha #AhadiYetu (Brand Promise) ya Chama kwa Watanzania
4. TASAF na utumishaji Wazee na watu wenye ulemavu
5. Gesi Asilia Lindi kutowanufaisha wananchi
#TaifaLaWote
#MaslahiYaWote

Orodha ya Masuala 10 ya Wananchi Yaliyoibuka katika Awamu ya Kwanza ya Ziara ya Kutambulisha #AhadiYetu (Brand Promise) ya Chama kwa Watanzania:
1. Hifadhi ya Jamii kwa wote
2. Kupanda kwa Gharama za Maisha
3. Mbolea kilio cha Wakulima
#TaifaLaWote
#MaslahiYaWote

Masuala 10 Yaliyoibuka katika Ziara ya Kutambulisha #AhadiYetu
1. Hifadhi ya Jamii kwa wote
2. Gharama za Maisha
3. Kilio cha Mbolea
4. TASAF na utumikishaji Wazee
5. Gesi Asilia
6. Korosho
7. Migogoro ya Ardhi
8. Usalama wa Raia
9. Tume Huru, Katiba Mpya
10. Haki za Raia

Orodha ya Masuala 10 ya Wananchi Yaliyoibuka katika Awamu ya Kwanza ya Ziara ya Kutambulisha #AhadiYetu (Brand Promise) ya Chama kwa Watanzania:
1. Hifadhi ya Jamii kwa wote
2. Kupanda kwa Gharama za Maisha
3. Mbolea kilio cha Wakulima
4. TASAF na utumishaji Wazee na watu wenye ulemavu
5. Gesi Asilia Lindi kutowanufaisha wananchi
6. Zao la Korosho mikoa ya Kusini mwa nchi
7. Migogoro ya Ardhi
8. Usalama wa Wananchi
9. Tume Huru, Katiba Mpya na Mageuzi ya Kidemokrasia Nchini
10. Haki za Raia kwa Wananchi wa Kigoma.
Dorothy Jonas Semu
Waziri Mkuu Kivuli
ACT Wazalendo
26 Machi, 2023.
#TaifaLaWote
#MaslahiYaWote

Katika Ziara ya kutambulisha #AhadiYetu kwa Watanzania Awamu ya kwanza Mikoa 8 ya Tanzania Bara na Mikoa 2 ya Zanzibar tulisisitiza muda wote kuwa ifikapo November Mwaka 2023 Tanzania iwe na Sheria mpya ya Uchaguzi na Sheria mpya ya Vyama vya Siasa. Serikali imetusikiliza. Tutafuatilia kwa makini utekelezaji wake.
Last Seen Hashtags on Sotwe
xlii() or exny() or #momson() or nolimit() +filter:native_video
Seen from India
TEENAGER()(filter:videos)
Seen from United States
momson filter:videos
Seen from Egypt
ΰΉΰΈ’ΰΉΰΈΰΉΰΈ‘ΰΉΰΈ’ΰΈ²ΰΈ’
Seen from Thailand
Momson() +filter:native_video
Seen from United Kingdom
blackmarria
Seen from Malaysia
watercolour
Seen from Indonesia
520ηε§
ΰΈΰΈ£ΰΈ΅ΰΈΰΈΰΈ£ΰΈ±ΰΈΰΉΰΈΰΈ
Seen from Thailand
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.6M followers

X 
@x
60.8M followers










