Author|| Shadow Minister for Energy|| National publicity secretary Youth Wing @ACTWazalendo ||CEO @StreetTvMedia|| The Ordinary President @BrightFutureLdAcademy
Ahsante sana Kiongozi wa Chama, Ndugu @zittokabwe kwa imani uliyo nayo kwa Vijana. Umekuwa Kiongozi wa kupigiwa mfano katika kuinua Vijana kuzifikia ndoto zao. 90% ya Vijana tulivutiwa na kujiunga na siasa za Mageuzi kutokana na Ujasiri, Hoja na misimamo yako.
Hatutokuangusha📌
Several months back, Museveni’s brutal son posted that, "......Besigye will only leave prison in two ways. Either in his coffin after we hang him or shoot him or on his knees apologising to Mzee [Museveni]."
Yesterday, Dr. Besigye and his colleague Hajj Obeid Lutale's fourth bail application was denied! Cry beloved country. The judiciary, like all other institutions, has been completely emasculated. We have an opportunity to press the RESET BUTTON on our country in 16 days and put an end to this suffering.
#FreeKizzaBesigye
#FreeUgandaNow
@Jambotv_@ACTwazalendo Hata kwa Mpina kulikuwa na danadana kama hizi na mwisho wake sote tunaujua, labda zijikoshe kimataifa kwa kupewa maelekezo kutoka juu. Mahakama zilizo mfukoni mwa watekaji haziwezi kutoa haki.
FUNGA MWAKA NA TUNDU LISSU
Wengi tulitamani kwenda gerezani Ukonga kumsalimia Mhe Tundu AM Lissu, lakini ilishindikana. Hatukuruhusiwa kuingia gerezani. Tuliishia getini, tukarudi nyumbani kinyonge.
Dola imewekwa utaratibu mgumu sana, na kuanzia Desemba 5 hadi leo, hali imekuwa mbaya zaidi.
Maisha ya upweke na mateso gerezani ni magumu sana. Na Mhe Tundu Lissu anapitia hali hii ya kutengwa dunia – haoni jua wala nuru, kwa miezi 9 sasa.
Hii imeathiri hata yeye kufikia huduma za kijamii, si tu chakula, bali pia taarifa za familia yake, Chama chake CHADEMA, na hata hali ya kisiasa nchini – ikiwemo kusoma kupitia magazetu au mazungumzo na ndugu na jamaa zake.
Ili kumuunga mkono katika giza nene alilomo, tunakualika ushiriki “MASAA 48 YA FUNGA MWAKA NA TUNDU LISSU (Baba wa Gen Z).”
Gen Z wanafunga mwaka na Mtetezi weo, na sisi Watanzania tuungane kumtumia salamu za mwisho wa mwaka, tumtie moyo ili aanze Mwaka mpya kwa ujasiri mkubwa.
Kama ambavyo Mhe Lissu amejitoa kwaajili ya Taifa letu, tunalazimika kumkimbilia katika wakati ambao anatuhitaji zaidi.
Tuioneshe dunia maana halisi ya “NGUVU YA UMMA” kwa kuchangia chochote ulicho nacho.
Mwenyezi Mungu akubariki sana.
ASANTENI SANA.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Amani ni tunda la HAKI, huwezi kuvuna Amani kama hujapanda HAKI. Ni mtu mpumbavu pekee anayeweza kuhubiri AMANI na Kupuuza HAKI.
Merry Christmas and Happy New year
@MFaarees_ To be fair, Muslims are SUPPOSED to seek validation from Christians. Even Muhammad was ordered to go to Jews and Christians to seek validation for his "revelations." Don't you want to be like Muhammad? 🤔
Hawa ndio mabroo JAU.
Hapa anatupa dongo kwa Roma kila mtu anajua na hakuna Fumbo utatufumbia GEN Z. Wewe na MKATOLIKI mlitekwa hakuna Mtu halijui hilo.
Ila katika kutekwa kwenu ni MKATOLIKI pekee ndie alieiambia Dunia alitekwa wewe uliamua kuuchuna bila shaka ulisikiliza na kutii VITISHO VYA WATEKAJI.
Mimi ni Muhanga wa KUTEKWA najua uliyopitia kwa asilimia kubwa—ulikaa kimya kwa muda wa miaka 8 sasa hujawahi kutamka neno UTEKAJI kutoka kwenye kinywa chako kwanini unatamka Leo?
Jibu ni jepesi sana, waliokuteka na kukuambia UKALIE KIMYA UTEKAJI ndio hao wamekupa kibali leo kuja kuongelea UTEKAJI. Ulivyo FALA unatumia njia ya KITOTO (WIVU) kuongelea madhila yako uliyopitia.
Mkatoliki hakukalia kimya UTEKAJI na kawa msanii anaepinga na kuungana na wananchi kwenye HARAKATI za kukataa ukandamizaji kwenye nchi. Kafanya kupitia kazi yake ya sanaaa kuna Mangoma kibao ya kusimama na wananchi.
Katumia jina lake kwenye mitandao ya kijamii kusimama na wananchi kupinga wakoloni weusi na kudai HAKI NA USAWA kwenye taifa letu.
Wewe ULITEKWA na ukaambiwa ukae kimya, mkatoliki alitekwa na akachimba yupo states muda huu na kaendeleza harakati za kupinga na kukataa UONEZI.
Kwasasa mkatoliki kifua chake ni chepesi kwasababu katema nyongo yote—wewe ndie unateseka maana UNAPIGIKA NA MAISHA MAGUMU BONGO NA KIFUANI UMEBEBA MENGI LAZIMA WIVU UPANDE.
Hakuna aliekuzuia usichimbe kutafuta amani ya kweli, hakuna aliekuzuia kusimulia UTEKAJI uliopitia ukatengeneza PESA kama kweli ndivyo ilivyo kama unavyosema.
KUBALI WEWE HUNA TOFAUTI NA CONDOM, ULITUMIKA NA UNAENDELEA KUTUMIKA NA WAKIMALIZA KUKUTUMIA WANAKUDUMP KWA KUKUFUNGA JUU USIMWAGE MABAO.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Nani anaweza kusema huu ni uongo…
Bunge la hovyo lisiloweza kusimamia serikali..
Tulia na bunge lake waliogopa kujadili hata suala la utekaji, kama hauwezi kujadili jambo hilo la wananchi upo kwaajili ya nani?
Kuna sababu gani ya kuwa na muhimili unaitwa bunge kama hausaidii wananchi?
Bado Tulia na kujipendekeza kote!!!!