Top Tweets for #AskDigital
Let's make your website the ultimate digital destination. Reach out today and discover how we can take your SEO to the next level!
Whatsapp To Know More: https://t.co/A9mPhjj9UV
#DigitalBranding #FashionPromotion #ASKDigital #DigitalMarketing #SEO #TechInnovation


@mafolebaraka Hivi kaka ukiwa na skills zaidi ya moja.
Kwenye freelancing platform zote unaziandika kwenye profile yako au unatengeneza multiple accounts kwa ajili ya hizo skills zingine?
Ipi ni njia nzuri?
#askdigital
Ukiwa freelancer invest kwenye tools usione tabu kununua simu ya 1M au Pc ya 2M kama una uwezo na pia usione shida kuanza na simu ya 100k au pc ya ram 2gb .Pesa yangu ya kwanza niliearn nikiwa sina laptop na simu haikua yangu. #askdigital
Kwa payoneer ili uwe na uwezo wa kurequest payment kwa mtu ni lazima uwe na earning ya atleast usd 5000 #askdigital
Upwork ukitoa hela kwa wire utakatwa usd 30 then bank yako itakukata tsh 15k+ lakini ukitoa na Payoneer utakatwa usd 15 + usd 1 ya upwork na bank yako itakata tsh 15k+ #askdigital
Kwenye freelancing omba kazi zinazoendana na ujuzi wako #askdigital
Kwenye freelancing platforms usibadilishane namba na client #askdigital
Ukiwa freelancer hakikisha unaweka malengo yako ya earning kila siku mfano mimi malengo yangu ni kila siku minimum earning yangu iwe usd 5 #askdigital
Kwa Tanzania ni Payoneer #askdigital
Upwork inawazingua sana watu hasa baadhi ya term mpya.I know leo kuna space nimeandaa nitajibu yote but kama kuna lolote linakusumbua kwenye freelancing embu uliza ukianza na #askdigital nami nitajibu hapo kwa hapo
@MikeMikaeli 1.kuwa specific na skill unayoiuza
2.omba kazi zinazoendana na profile yako
3.anza kidogo kidogo
#askdigital
DAY TWO
#askdigital
Niulize chochote kuhusu freelancing nami nitakujibu hapo hapo .Tafadhali kabla hujauliza anza na #askdigital
@poeticTricy Uelewa kuhusu freelancing unakua kwa kasi kadri siku zinavyosonga .Personal consistency na kutokukata tamaa kwenye kujifunza kumenisaidia mno na ukitaka kuwa freelancer mzuri hakikisha una skill ya kidigital na uelewa how freelancing platforms works #askdigital
Huwa tunatumia payoneer au wire transfer #askdigital
@mafolebaraka Napataje hela yangu baada ya kuwa nimefanya kazi? Njia zipi zinatumika maana PayPal hatuna
@awesomegoodluck Njia ninazotumia
1.profile yangu inaelezea huduma zote ninazotoa
2.Nimetengeneza portfolio kwa kutumia kazi nilizofanyaga nyuma na waajiri wengine
3.Huwa ninahakikisha kila ombi la kazi ninalotuma linaendana na mahitaji ya kazi husika
#askdigital
TUZUNGUMZE FREELANCING(SHORT THREAD)
• Je, Online Freelancing ni nini hasa?
Online freelancing kwa lugha rahisi maana yake ni kufanya kazi ya mtandaoni kwa kutumia ujuzi/skill uliyonayo na wewe kulipwa pesa.

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.6M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.3M followers

X 
@x
60.8M followers








