Top Tweets for #AzamFCTV
GIBRILL SILLAH (Part 3): Hapa anaitaja kazi ambayo angekuwa anaifanya endapo asingekuwa mchezaji, lakini anaanza na Cristiano Ronaldo huku akieleza mambo ambayo hufanya katika muda wake wa mapumziko.
#AzamFC #GibrillSillah #AzamFCTV
Kesho Septemba 14 Azam FC watakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.
Huyu hapa kocha wa timu hiyo, Youssouph Dabo akieleza ni kwanini Mbuni na kwanini Arusha.....
Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#AzamFC #AzamFCTV #MbuniFC
AZAM COMPLEX YAFANYIWA MABORESHO
Uwanja wa Azam Complex umefanyiwa maboresho katika eneo la kuchezea (Pitch) na hii ni baada ya kuwepo na matumizi ya mara kwa mara kama anavyoeleza meneja wa uwanja huo, Amiry Juma.
#AzamFCTV #AzamComplex #MaboreshoyaPitch
Prince Dube, anafichua kitu hapa kuhusu Idris Mbombo...... Je, kuna mmoja anamuonea wivu mwenzake?
Hadi sasa Dube ana magoli mawili katika mechi mbili za ligi kuu alizocheza.
Kama wewe ungekuwa kocha, Je, ungekuwa unaanza na Dube au Mbombo?
#PrinceDube #AzamFCTV #AzamFC
#AzamFCTV Usikose kutazama kipindi chetu cha Azam FC TV, kitakachoruka kupitia Azam Sports HD 1, leo Jumanne saa 1.30 usiku.
Baadhi ya mambo yatakayojiri usiku huu...
#weareazamfc #timuborabidhaabora
AZAM FC: Tazama shangwe la mashabiki hawa wa Azam FC, baada ya kununua jezi za timu hiyo kwa bei ya punguzo.
Vijana hao wa Chamazi leo watashuka dimbani Nyamagana Mwanza, kuivaa Pamba FC kwenye mchezo wa kirafiki.
Mechi saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#AzamFCTV #AzamFC
DONDOO ZA MICHEZO: Mahmoud Zubeiry anakumbusha mechi za soka za leo ambazo zitarindima LIVE #AzamSports1HD na #AzamSports2HD
#AzamSports1HD #AzamSportsFederationCup #ASFC #KombeLaShirikishoLaAzamSports
#AzamFCTV #AzamFC #RhinoRangersVsAzamFC #RhinoRangers #AzamFC #VPL
#AZAMFCTV Mtaalamu Azam FC, Victor Ndozero, alivyotua Ujerumani kwa miamba Bayern Munich, Borussia Dortmund, kupata ujuzi wa matunzo ya uwanja, angalia ziara yake yote na mahojiano baada ya kuwasili nchini. FC Bayern... https://t.co/2JuXHSRi2j
Last Seen Hashtags on Sotwe
bisex
Seen from Turkey
snapchat
NikeorBust
Seen from United States
elmerfudd
Seen from Argentina
MGAI
Seen from Australia
minichatt
Seen from United States
anxiouspandaa()********************** filter:native_video since:2026-08-15
Seen from United Kingdom
ffm #threesome
Seen from United States
ifşamvar
福利姬
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

