Top Tweets for #BABAKASEMA

#Babakasema
Usishindane na mnyonge hiyo Ni dhulma.
Ukishindana na mwenye nguvu huko Ni kujiangamiza .
Yakupasa kushindana na shida zako upate kufanikiwa. Rizki Haina miguu,
Wenyewe wanasema #BabaKasema
Shambulio la Polisi wa Nyamongo, Tarime dhidi ya Mgombea U-Rais, Wabunge, Viongozi, Wanachama na Wapenzi wa Chadema ni uchokozi usiokubalika. Risasi za Moto na Mabomu yanatonesha vidonda na makovu yetu ya miaka mingi. IGP usiruhusu tabia hii kuendelea. Italigharimu Taifa.
Sisi wa mikoani tunasubiria sms za fingerprint kwanza, ndo tuchome nauli zetu. Na tukifika Chuo mguu wa kwanza jumatatu ni kwa Loan Officer 😂 Maana baba ameshasema wenye mikopo yetu tusisumbuliwe, hataki kero 🤣
#BabaKasema
When you're either in LOVE or in an WAR; At any time "T", anything and everything decided, is always FAIR.
#BABAKASEMA
#TUKUTANECHUO
#COVID19TZA
#Covid19War
#Babakasema Kama kupokea kifaa chochote cha kupambana na COVID-19 ni lazima kipitie wizara ya afya ili kihakikiwe ubora wake. Ili tusijepokea vifaa ambavyo vitaongeza maambukizi ya ugonjwa huo nchini. Huyu ndio Rais anaejali wananchi wake.
Tanzania bila corona inawezekana.
#Babakasema Kwenye kupokea misaada ya kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 ni lazima tuwe makini sana. Kwani tunaweza kupokea misaada ya vifaa hiyo vikiwa tayari na mapandikizi ya virusi vya corona.
Huyu ndiye Rais anaeona mbali.
@TZMsemajiMkuu @MsigwaGerson
#Babakasema Rate ya Ugonjwa wa COVID-19 nchini imeshuka sana. Mkoa wa Singida una wagonjwa watatu ambao wanaendelea vizuri. Tuendelee kufanya kazi za uzalishaji mali huku tukichukua tahadhari. @tzyetumpya @AnyelwisyeB @ClubMagufuli
#Babakasema Kwa sababu maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 yameshuka nchini, vyuo vyote kufunguliwa tena kuanzia tarehe 01/06/2020. Wakati mataifa mengine wakiendelea kujifungia ndani, kwetu masomo yanaanza tena. @MnaaZawadi @HakiElimu
#Babakasema Kulingana na hali ya ugonjwa wa COVID-19 kuendelea kushuka hapa Nchini, baadhi ya michezo kuanza tena Tarehe 01/06/2020.
Tunasonga mbele. @Tanfootball @HajiManara
#Babakasema Nchi yetu kuanza kupokea watalii kutoka kote Duniani. Wakati majirani zetu wamejifungia na hata kuogopa hata kutoka nje sisi tunaendelea kusonga mbele kiuchumi. Tanzania ya @MagufuliJP tunasonga mbele. @Princess_mcute @BestaMlagila
Wananguu June 1 tuko palee #BabaKasema
#Babakasema🇹🇿✔️
@shilinde_cc @HecheJohn Miundo mbinu! Wenzetu wana miundo mbinu ya kisasa ambayo sisi tunaita ‘maendeleo ya vitu.’ Raisi Magufuli yuko sahihi kuwekeza kwenye ujenzi wa miundo mbinu ya kisasa. Tuzidi kumuombea na kumuunga mkono katika jitihada zake za kutuletea uhuru wa kiuchumi na kujenga taasisi imara.
Last Seen Hashtags on Sotwe
somali wasmo
Seen from Germany
石化 zzz
Seen from Japan
DiaDelTeatro
Seen from United States
Fnaf9
Seen from Mexico
snapchat ()()()()()filter:videos
Seen from United States
mrpuzzlesnsfw
Seen from United States
brosis()+filter:images
Seen from United States
奸尸
Seen from Japan
plancul
Seen from France
Mandymajestic
Seen from Malaysia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

















