#PWANI Mamlaka ya Mapato Tanzania @TRATanzania Mkoa wa Pwani leo tarehe 28.05.2021 imefanya kikao na wafanyabiashara chenye lengo la kupokea maoni na ushauri (Breakfast meeting) Wilayani #Bagamoyo.
Aidha, baada ya ziara hiyo walizungumza na Wakazi wa Uyole jijini Mbeya na kuwahakikishia kuwa mgomo wa daladala umekwisha na Serikali itaendelea kuboresha miundombinu mkoani hapo ili kurahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji
#KaziKazi
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani @TuliaAckson watembelea miundombiny Barabara eneo la Mwanjelwa na Uyole na kuuagiza Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kurekebisha barabara za pembezoni.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeendelea na kampeni ya elimu kwa umma katika jiji la Arusha na Tanga, mkoa wa Kilimanjaro na Morogogo, na kutoa elimu kwa wananchi, maafisa wa serikali na wanafunzi kuhusu Alama za Usalama katika noti zetu na namna bora ya utunzaji wa noti na sarafu.
Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam imesema ipo tayari kutoa usafiri kwa ombaomba wanaotaka kurudi kwao kwa hiari ifikapo mwezi wa sita mwaka huu.
Soma Zaidi >> https://t.co/BO8S3xbILd
Mhe. Rais @SuluhuSamia atoa pole kwa @bunge_tz
kufutia kifo cha Mbunge Jimbo la Konde Khatib Haji wa Chama cha ACT kitichotokea katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo.
Rais Samia Suluhu Hassan atoa pole kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufutia kifo cha Mbunge Jimbo la Konde Khatib Haji wa Chama cha ACT kitichotokea katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo.
Rais @SuluhuSamia amemteua Brigedia Jenerali Rajabu Mabele, kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), akichukua nafasi ya Meja Jenerali Charles Mbuge, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Kagera.
Rais wa Uganda @KagutaMuseveni na Rais @SuluhuSamia wakishuhudia utiaji saini wa mikataba ya uekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta la kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni za uwekezaji ya (Host Government Agreement) Ikulu DSM.
#Makabidhiano ya Ofisi: Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Jen. Wilbert Ibuge ambae kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amekabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo Mhe. Balozi Joseph Edward Sokoine.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani asiishie kuwasimamisha kwa siku kumi tu Meneja wa TEHAMA wa TANESCO na Wasaidizi wake, bali wakae pembeni hadi hapo uchunguzi zaidi utakapokamilika.