Top Tweets for #Back2The70s
ATE inapenda kushukuru kila mmoja kwa uwepo wake mahali hapa, kupitia ushirikiano huu tumekua tukiboresha sekta ya ajira na kuboresha mazingira ya kazi. ~ Oscar Mgaya, Mwenyekiti wa ATE.
#EYA2024 | #Back2The70s | #OldIsGold

Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Bwana Oscar Mgaya akitoa salamu kwa waajiri leo kwenye kilele cha utoaji Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka 2024.
#EYA2024 | #OldIsGold
#Back2The70s #Dress2Win

ATE inapenda kushukuru kila mmoja kwa uwepo wake mahali hapa, kupitia ushirikiano huu tumekua tukiboresha sekta ya ajira na kuboresha mazingira ya kazi. ~ Oscar Mgaya, Mwenyekiti wa ATE.
#EYA2024 | #Back2The70s | #OldIsGold

Tuzo za Mwajiri bora wa mwaka 2024 ni za 19 toka zianzishwe, na zina lengo lakuongeza tija katika kuratibu shughuli za waajiri mahala pa kazi. ~ @AdvSuzanne
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s

Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka imeendelea kwa kuweka misingi, kanuni na mikakati yenye mahusiano bora mahala pa kazi na kuwezesha kufanya biashara na kuleta tija na faida. - - @AdvSuzzane
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s

Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka imeendelea kuwa tukio muhimu katika kalenda za Waajiri nchini ambapo kwa miaka kadhaa sasa tuzo hizi zimendelea kuhamasisha Waajiri kuweka juhudi katika usimamizi wa rasilimali watu. - @AdvSuzzane
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s

ATE leo tuafikia kilele cha Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka 2024. Tuzo hii pamoja na mambo mengine inalenga kutambua na kutoa tuzo kwa Waajiri wenye misingi bora ya usimamizi wa rasilimali watu na biashara. - @AdvSuzanne
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s

Bronze Sponsors: MSD, TCC, CBM, PBZ, TRC, NHC, TCAA, PSSF, NACTVET, TIPER, ALAF, WCF, na Total Energies.
Ushirikiano wenu umeleta mafanikio makubwa katika kuendeleza azma yetu ya kutambua na kusherehekea ubora wa waajiri nchini.
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s

Napenda kuwapongeza na kuwashukuru wadhamini wetu wa Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka 2024 kwa mchango wao mkubwa katika kufanikisha tukio hili.
Gold Sponsors: Barrick Twiga na NMB Bank.
Silver Sponsors: NSSF na CRDB Bank.
#EYA2024 | #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s

Tuzo za Mwajiri bora wa mwaka 2024 ni za 19 toka zianzishwe, na zina lengo lakuongeza tija katika kuratibu shughuli za waajiri mahala pa kazi. ~ @AdvSuzanne
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s

Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka inatokana na tafiti ambazo zinamuongoza Mshauri Mwelekezi kufuatila kwa umakini mazingira ya Mwajiri kama yana vigezo ambavyo vinajazwa katika dodoso. - @AdvSuzzane
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s

Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka imeendelea kwa kuweka misingi, kanuni na mikakati yenye mahusiano bora mahala pa kazi na kuwezesha kufanya biashara na kuleta tija na faida. ~ @AdvSuzzane
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s

Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka imeendelea kuwa tukio muhimu katika kalenda za Waajiri nchini ambapo kwa miaka kadhaa sasa tuzo hizi zimendelea kuhamasisha Waajiri kuweka juhudi katika usimamizi wa rasilimali watu.- @AdvSuzzane
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s

Kilele cha kutambua ubora wa waajiri nchini.
Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka 2024 zinafanyika leo Serena Hotel, Dar es Salaam, chini ya ugeni rasmi wa Mhe. Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu.
#EYA2024 #Dress2Impress #Back2The70s #Dress2Win

2 Days to Go!
The stage is set, the trophies are ready, and the countdown is on! Celebrate Tanzania’s top employers at EYA 2024 this Friday. Don’t forget your ’70s-inspired outfit!
#Dress2Win #Back2The70s #EYA2024 #Dress2Win

Counting down the days! ⏳ Just 3 left until we celebrate Tanzania’s top employers with style and glamour.
Don’t miss this memorable evening of recognition, glamour, and inspiration! See you there.
#Dress2WIN #EYA2024 #OldisGold #Back2The70s

Last Seen Hashtags on Sotwe
FREEINFRAHAZ
Seen from United States
minichat
Seen from Canada
journéemondialedumalade
Seen from United States
locktober
Seen from United Kingdom
EstoOEsto
Seen from United States
blacksmith
Seen from United States
unzurechnungsfähige
Seen from United States
head #ebonypyt
Seen from Sweden
MasterClassFirstLook
Seen from United States
24YearsOfExcellence
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers