Top Tweets for #Basata

"يااا ربي كيف ناس البلد...
" زي حالنا شايلهم العِرِق
"ولا الظروف أحسن هناك
"ومفتـوحـه أبواب الـرزق.... 🥺🍂
..
صباح الخير على الكُداح...
..
#Basata🌺🌺🌺🌺🌺

DAR: Baraza la Sanaa la Taifa (#BASATA) limetoa taarifa kwa Wananchi, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wasanii na Wadau wote wa Sanaa kuwa kuanzia Februari 6, 2026, Waongoza Sherehe, Burudani na Matukio (MC) na Manju Muziki (DJ) wasio na Vibali Halali vya Baraza hilo, hawataruhusiwa kujishughulisha na kazi hizo hapa nchini.
Kwa taarifa zaidi tembelea https://t.co/gGGkYwprA3
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #JFEntertainment

DAR: Baraza la Sanaa la Taifa (#BASATA) limewataka Waongoza Sherehe, Burudani na Matukio (MC) na Manju Muziki (DJ) kuhakikisha wanakuwa na vibali halali vya BASATA ili kujishughulisha na kazi za sanaa Kisheria, ikiwa ni kwa mujibu wa Kanuni za Mwaka 2018 na Tozo za Mwaka 2025, ambapo BASATA ndiyo msajili mkuu na mtoa vibali.
Wahusika wote wametakiwa kuwa na kibali hai ifikapo Januari 31, 2026, ambapo ada ya usajili ni Tsh. 10,000/= na ada ya kibali ni Tsh. 40,000/=, ikielezwa kuwa watakaokiuka watachukuliwa hatua za Kisheria.
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #JFEntertainment

DAR: Baraza la Sanaa la Taifa (#BASATA) limefuta Leseni ya kuendesha Shindano la Miss Tanzania kwa Kampuni ya The Look Company Limited kwa kueleza imeshindwa kutekeleza maagizo halali ya Baraza licha ya kupewa maelekezo kupitia barua Aprili 15, 2025 na Mei 9, 2025
BASATA imesema kibali chao cha kufanya kazi hakijahuishwa kwa zaidi ya Miezi sita, kukaidi agizo la Baraza kwa kutowasilisha nyaraka muhimu kama nakala ya Cheti/Leseni ya kushiriki Shindano la Dunia, kushindwa kuandaa Shindano la Miss Tanzania kwa Mwaka 2023/2024 na kutowakilisha kwenye “Miss World 2024/2025”
Kampuni hiyo inasimamiwa na Basilla Mwanakuzi (Mshindi wa Taji la Miss Tanzania 1998) ambaye pia ni Mwanasiasa. Hivi karibuni (Mei 2025) kupitia ukurasa wake wa Instagram alitoa kauli kadhaa akikosoa baadhi ya maamuzi na Utendaji wa Chama chake cha CCM
Soma https://t.co/CHiB0ae8mY
#Entertainment #JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability

@ricpuglisi Cecilia nostrissima! 😅

Msanii @ibraah_tz amefunguka kilichozungumwa siku ya leo baada ya kuitwa na walezi wao #Basata siku ya leo kwaajili ya kuzungumzia hili linaloendelea kwasasa kati yake na Label yake ya #KondeGang
Baada ya #Chinga kutoka kwenye kikao hicho amezungumza na waandishi wa habari na ameweka wazi kuwa jambo hilo mpaka sasa lipo sehemu sahihi na likikamilika wataliongelea
Akizungumza na waandishi #Ibraah amesema.................."Tumefanya mazungumzo lakini kikubwa tuwaachie Basata wao ndio wana maamuzi sahihi juu ya hili na namshukuru Mwenyezi Mungu kwasababu tulipofikia ni pazuri''
"Ndani tulichozungumzia ni migogoro iliyopo kati yetu mpaka itakapo kuwa sawa ndio tutaliongea zaidi''
✍️ @mkogoty
#EastAfricaTV #HainaKuchoka

Kwa mujibu Afisa Habari na uhusiano BASATA Isaack Bilali anasema jambo la @harmonize_tz na @ibraah_tz litamalizwa mezani ikiwa wawili hao watakaa pamoja kuzungumza.
#PlanetBongo #Harmonize #Ibraah #BASATA
Afisa Habari na uhusiano BASATA Isaack Bilali, ananyoosha maelezo kinachoendelea kati ya #Harmonize na #Ibraah ambapo anasema watarudishwa tena.
#PlanetBongo #Harmonize #Ibraah #BASATA
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewasili katika viwanja vya Tanganyika Pekers tayari kushiriki tamasha la aina yake la Samia Serengeti Music Festival lililoandaliwa na Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Baraza la Sanaa Tanzania #Basata.
#HabarileoUPDATES
1) 👇Ukicheki page za Insta utaona kabisa @ace__london Inasupport kweli Sanaa coz wanapost Sanaa za wasanii wachanga zaidi!
Ila kwenye page ya #Basata unaweza dhani ni page binafsi ya #mkurugenzi coz yeye ndo kajaa sana kuliko hata Sanaa na wasanii ilihali ni "SHIRIKA LA UMMA"

✍️ Mimi kama mdau wa #Sanaa naandika hii kwa Uchungu sana:
Nimelinganisha Kazi ya #Basata na Baraza la sanaa England @ace__london kidogo nilie ase!
Basata inaendeshwa kisiasa sana yan haijawekeza kwenye 'Creative Economy' kabisa na ipo tangu 1984🤦♂️
🧵Shuka na Uzi ujionee👇

So talented, imagine hii creativity huwez compare na tollywood yetu😭😭...so saaaaad #BASATA why hamuwekezi kwenye tollywood ..kazi yenu kuangalia makosa tu!!😭
Maadili kimya ukiwa tagged na mtu kavaa makalio nje na mchupi wa giza.
Wasanii wa @ccm_tanzania .
#Basata Oyee

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.4M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.1M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.5M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.5M followers





















