Top Tweets for #BawachaNextLevel
The great army am leading #BawachaNextLevel
Katibu @BawachaTaifa simba jike mbunge wa mioyo ya watu wa Serengeti mh @CatherineRuge akihutubia mkutano wa hadhara namna #katibaMpya itakavyoleta ugali mezani hii inaitwa #BawachaNextLevel
Maandamano maandamano uelekeo ni mmoja tu #bawachanextlevel

#Bawacha wakitumbuiza ngoma ya asili mbele ya mgeni rasmi Mwenyekiti wa Kanda Mh. @MsigwaPeter kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Namanyere, Jimbo la Nkasi Kaskazini, mkoa wa Rukwa.
#BawachaNextlevel
#KatibaMpyaNiSasa
Mhe Sharifa Suleiman Mwenyekiti BAWACHA-TAIFA leo amethibitisha hongozi ni KIPAWA na ssio umaarufu. Amewasilisha HOTUBA yake balisomi sana bila hofu wala woga. Leo ndio nimejuwa uwezo wa Mhe Freeman kuandaa viongozi ni mkubwa sana #ShangaziPower #BawachaNextLevel

Kwa ubora na Viwango vya juu kabisa wa shuguli ya leo ya Wanawake wa Chadema (BAWACHA) hapa Kilimanjaro,Nichukue nafasi hii kumpongeza Mtendaji Mkuu wa BAWACHA Mhe @CatherineRuge (Msubhati).
#BawachaNextLevel
#KatibaMpya



Bawacha Mkoa wa Kagera waadhimisha siku ya Mwanamke Duniani kwa kutoa msaada wa Magodoro katika kituo cha afya wilayani Kyerwa kwa ajili ya kusaidia wakina mama baada ya kujifungua.
Heko #BawachaKagera
#MwanamkenaTeknolojia2023
#Bawachayenyekuachaalama
#BawachaNextLevel

Baraza la wanawake wa Chadema @BawachaTaifa leo March 26 limeshiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon katika mbio fupi za kilomita 5 mbio ndefu za kilomita 21
#BawachaKilimarathon2023
#BawachaNextLevel
#KatibaMpyaNiSasa

Shangazi Power๐๐๐๐
Women in frontline!
#BawachaNextLevel

Msubhati wa Taifa Simba jike kutoka Serengeti na katibu wa @BawachaTaifa with #BawachaNextLevel mh @CatherineRuge Yuko Jiji la kijani tukutane baadae #KatibaMpya ya #WenyeNchiWananchi

Tunapowaambia #BawachaNextLevel sijui mnaelewa? Simba jike kutoka Kona za Serengeti ni huyu na Yuko mmoja tu a.k.a Msubhati katibu wa @BawachaTaifa mh @CatherineRuge mtu makini na mnyenyekevu ila ni Jasiri anafundisha na kuelimisha.
#KatibaMpya #WenyeNchiWananchi


Mapema leo nikizungumza kwenye Kongamano la wanawake Kanda ya Unguja Visiwani Zanzibar.
Wanawake wa Zanzibar wana fursa ya kufanya siasa na kuongoza harakati za kudai mabadiliko katika nchi yao kama alivyofanya Mwanamke Mwanamapinduzi
Bi. #BiubwaZahor
#BawachaNextLevel

#BawachaNextLevel ndiyo kesho katibu mkuu @BawachaTaifa mh @CatherineRuge ataongea na Tanzania ya Watanzania wote mnakaribishwa huku tukiendelea na #KatibaMpya

Its called women leading from the front
#BawachaNextlevel
DEVOTHA MINJA anaiongoza MORO-KIDIGTAL hakika Mhe.@CatherineRuge amefanya mageuzi makubwa mnoo kwenye hii BAWACHA.

Wanawake wa Mbeya mnajuaga kunifurahisha
You're the Show Stopper
#BawachaNextLevel
#KatibaMpya
#TunasongaKidigitali
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers







