Top Tweets for #Bombatvupdates
#Bombatvupdates; Klabu ya @simbasctanzania imetangaza usiku wa leo wanapasua bahati tena, majira ya saa tisa usiku wa leo.
Je unadhani ni mchezaji gani anatambulishwa kurejea ndani ya kikosi cha Simba sc.!!!
Je ni @luismiquissone1 .!!! Kaa nasi tukujuze.

#Bombatvupdates; Ikiwa leo ni siku ya pili tabgu klabu ya simba sc Kuanza kutambulisha wachezaji. je unazani kati ya masaa hayo matatu walioyagawanya hii leo.
Saa 13:00, 16:00, & 19:00. Unadhani ni wachezaji gani watatambulishwa hii leo.

#Bombatvupdates; Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Kilimanjaro mchana huu imemuachia huru aliyekuwa DC wa Hai,Lengai Ole Sabaya baada ya muda mfupi uliopita kukiri makosa yake kwa njia ya 'plea bargaining',taarifa kamili za kuachiwa kwake utazipata punde.
Cc: @millardayo

#Bombatvupdates; Timu ya Tanzania TAIFA STARS imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 mbele ya Uganda ambao waliokua wenyeji.
Bao la Tanzania likifungwa kupitia Mchezaji wao Saimon Msuva.
Drop ๐น๐ฟ kama umefurahishwa na matokeo haya.

#Bombatvupdates;Hakuna kitu kilikuwa kinasubiriwa kwa hamu na Mashabiki wa SIMBA na YANGA kama kuziona timu hizo zikifuzu kwa pamoja Robo Fainali ya Michuano ya CAF pamoja.Hata Afrika Mashariki ilikuwa inasubiria kwa hamu wasaaa huu. HaiJawaitokea katika Historia tangu ziundwe.

#Bombatvupdates; Goli la mchezaji wa Simba Sc, Clatous Chama ambalo alifunga kwa mpira wa faulo dhidi ya Horoya AC limechaguliwa kuwa Goli Bora la Wiki la Ligi ya Mabingwa Afrika kwa michezo ya mzunguko wa tano.
Rate this player โญ๏ธโญ๏ธโญ๏ธ

#Bombatvupdates; Droo ya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imekamilika huku Miamba iliyotinga hatua hiyo ikibaini wapinzani wao katika 8 bora na 4 bora.
REAL MADRID ๐ช๐ธ vs ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ CHELSEA
MAN CITY ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ vs BAYERN MUNICH
AC MILAN ๐ฎ๐น vs ๐ฎ๐น NAPOLI
BENFICA ๐ต๐น vs ๐ฎ๐น INTER MILAN.

#Bombatvupdates; Retweet kama umefurahia matokeo haya.

#Bombatvupdates; Tegemea kolabo ya msanii kutoka Nigeria @davido na @officialalikiba katika Album mpya ya Davido itakayotoka hivi karibuni.
Hii ni kwa mujibu wa tovuti mbalimbali huko nchini nigeria zime-share tracklist inayosemekana kuwa ni album mpya ya Davido.

#Bombatvupdates; Mchezo ni mapumziko Ligi kuu Nchini Uingereza, klabu ya Arsenal iliwa mbe kwa uongozi wa goli 3-0 dhidi ya wenyeji wao Fulham.
Je unatabiri matokeo ya mwisho yatakuaje.!!!

#Bombatvupdates; Mchezo ni mapumziko

#Bombatvupdates; Mchezo umekamilika kwa klabu ya Simba sc kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono mbele ya Mtibwa sugar na kufanikiwa kuendelea kusalia katika nafasi ya pili wakiwa na alama 57.
Huku hatrick ikishuhudiwa katika mchezo huu wa leo.
Drop ๐ฆ๐ฆ๐ฆ kama umefurahia matokeo.

#Bombatvupdates; Mchezo umemalizika kwa klabu ya Liverpool kupoteza mbele ya Bournemouth kwa bao 1-0, huku mchezaji wa Liverpool Salah akishuhudiwa kukosa penalty dakika ya 69โ.
Drop ๐ฅ kama umefurahishwa na matokeo haya.

#Bombatvupdates; Mchezo ni mapumziko ligi kuu soka Nchini Uingereza EPL 2022/2023, mtanange mkali ukishuhudiwa katika kipindi cha kwanza kwa timu ya Bournemouth kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Liverpool.
Je unatabiri matokeo ya mwisho yatakuaje.!!

#Bombatvupdates; Mchezo umemalizika Ligi ya UEFA EUROPA LEAGUE 2022/2023 kwa timu zote kutoshana nguvu na kutoka kwa sare ya goli 2-2 huku arsenal akisawazisha goli la pili baada ya mchezaji wa Sporting Cp kujifunga.
Drop ๐ฅ๐ฅ kama umefurahishwa na matokeo haya.

#Bombatvupdates; Mchezo ni mapumziko Ligi ya UEFA EAUROPA LEAGUE 2022/2023 mtanange mkali ukishuhudiwa katika kipindi cha kwanza kwa timu zote mbili kutoshana nguvu.
Je unatabiri matokeo ya mwisho yatakuaje.!!!

#Bombatvupdates; Hatimaye klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Real Bamako kutokea Malawi na kufanikiwa kushika nafasi ya pili katika kundi C.
MSIMAMO KUNDI D
๐น๐ณ Us Monastir 10
๐น๐ฟ Yanga SC 7
๐จ๐ฉ TP Mazembe 3
๐ฒ๐ผ Bamako 2

#Bombatvupdates; Taarifa kwa umma kutoka katika klabu ya @yangasc1935 kuhusiana na sakata la mchezaji wao feisal feitoto, mara baada ya hii leo kuwasilisha ombi la kuvunja mkataba na waajiri hao wa jangwani Yanga sc.

#Bombatvupdates; Mchezo umekamilika mtanange mkali ukishuhudiwa kwa timu zote kupambana na hatimaye klabu ya Liverpool Fc kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa bao 7-0.
Hii inaitwa wiki mtu kapigwa jumatatu - jumapili.
Drop๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ kama umefurahi matokeo haya.

#Bombatvupdates; Mtanzania @DjJoozey ameweka rekodi ya kuwa DJ wa kwanza duniani kucheza nyimbo katika kilele cha Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu zaidi duniani uliosimama wenyewe.
Rekodi hiyo imewekwa katika kilele cha mita 5,895 kutoka usawa wa bahari.

Last Seen Hashtags on Sotwe
teenageee
Seen from Netherlands
๋ฏธ์ฑ๋
์๋ฒ์ฃ
Seen from United States
ไฟบใฎ็ด ไบบz
Seen from United States
muฤlapasif
Seen from Turkey
incest daughter filter:videos
Seen from Belgium
ๆทๅค้ฒๅบ
Seen from United States
Thesecretshow
Seen from France
เธเธงเธขเธขเธฒเธงเธฅเธณเนเธซเธเน
Seen from Thailand
SkyLarkFotos
Seen from United States
Ixli
Seen from Sweden
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers



